Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.![]()

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.