Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MBUNGE HALIMA MDEE APELEKWA SEGEREA BAADA YA KUKOSA DHAMANA MAHAKAMA KISUTU JANA

$
0
0
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) Halima Mdee, akipanda gari la Polisi tayari kuelekea Mahabusu Segeea jana baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, jana, kufuatia kesi inayomkabili ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi.
Halima na wenzake walipandishwa katika gari la Polisi na kupelekwa Segerea hadi keshi itakapoitishwa tena mahakamani hapo.
Halima na wenzake wakiwa ndani ya gari la Polisi wakipelekwa Segerea....
Safari ya kuelekea Segerea imeanza.....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>