*TAFRIJA YA MIAKA 24 YA MUUNGANO WA UJERUMANI YAFANA DAR
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumaninchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya...
View Article*HABARI YAZIDI KUCHANJA MBUGA MICHUANO YA SHIMIWI MOROGORO
Wachezaji wa mpira wa miguu kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaaduni na Michezo (waliovalia jezi nyeusi) wakisalimiamana na wachezaji wa Wizara ya maji (waliovalia jezi ya kijani) kabla ya mchezo...
View Article*FURSA ZA AJIRA KUTOKA MeTL GROUP
Advocates vacancy Internet.pdf by moblogJnr Sales - Swahili.pdf by moblogSnr Sales.pdf by moblogTechnical Psns.pdf by moblog
View Article*BENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA WATEJA
Naibu Mkurugenzi Mtendaji waBenki ya CRDB anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kulia) akizungumza na wateja waliofika katika tawi la Holland House jijini Dar es...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA PROFESSA KIVASI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath...
View Article*WANANCHI WAUNGA MKONO USHIRIKIANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
*Wengi wamependelea visa ya pekee ya utalii, uwezo wa kusafiri ndani ya kanda kwa kitambulisho cha taifa, miundombinu yapamoja na uhuru wa kufanya kazi popote ndani ya Jumuiya. Wananchi wanane kati ya...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, TANZANIA KUTOKUWA MWENYEJI AFCON 2017
*TANZANIA KUTOKUWA MWENYEJI AFCON 2017Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefahamishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuwa Tanzania haitaweza kuwa mwenyeji wa Fainali za Afrika-...
View Article*BALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA...
Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi Kanda ya Ziwa, zijulikanazo kama “Balimi Boat...
View Article*TAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO
Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Meneja wa tamasha la Karibu Music...
View Article*MSIINGIZE DINI KATIKA SIASA - RAIS KIKWETE AWAPASHA MABALOZI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa...
View Article*WAKALA WA UKAGUZI WA MADINI TANZANIA (TMAA) YAIWEZRSHA SERIKALI KUKUSANYA...
Meneja wa Maabara kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) Mhandisi Mvunilwa Mwarabu akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine ya kupimia kiwango cha madini inayoitwa Atomic...
View Article*KINANA AUNGURUMA LEO KATIKA JIMBO LA WAZIRI LUKUVI, ASHIRIKI NA WANANCHI...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kata ya Ilolo mpya jimbo la Isimani mkoani Iringa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la...
View Article*VIONGOZI WA DINI WAIOMBEA DUA NJEMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA MJINI DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi akihutubia wakati wa dua ya kuiombea Katiba mpya Inayopendekezwa.Vionozi wa Dini toka wadhehebu ya Kiislamu, Kikristo, Wasabato, Wahamadiya, Jamaat...
View Article*SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA LATOA PONGEZI KWA BUNGE MAALUM LA KATIBA KWA...
Na Anitha Jonas –Maelezo.SHIRIKISHO la Muziki Tanzania limetoa pongezi za dhati kwa Bunge Maalum la Katiba lililokuwa likiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta kwa kuingiza Ibara tatu...
View Article*MBUNGE HALIMA MDEE APELEKWA SEGEREA BAADA YA KUKOSA DHAMANA MAHAKAMA KISUTU...
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) Halima Mdee, akipanda gari la Polisi tayari kuelekea Mahabusu Segeea jana baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Hakim Mkazi...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA RASIMU YA MWISHO YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA MJINI...
Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, BENIN YATAJA NYOTA WA KUIVAA STARS
*BENIN YATAJA NYOTA WA KUIVAA STARSKocha wa timu ya Taifa ya Benin, Olle Didier Nicolle ametaja kikosi cha wachezaji 18 kwa ajili ya mechi dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili (Oktoba 12 mwaka...
View Article*KINANA ATINGISHA KILOLO LEO, AMPANDISHA JUKWAANI KIONGOZI WA CHADEMA AELEZE...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo.MBUNGE wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa Profesa Peter Msolla...
View Article*MKUTANO WA WB NA IMF WAANZA JIJINI DAR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Bw.Herve’ Joly ambaye ni Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki....
View Article*MUTUKIO KATIKA PICHA SHEREHE YA MAKABIDHIANO YA RASIMU YA KATIBA MPYA MJINI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein, kwa pamoja wakiinua juu kuonyesha Rasimu ya Katiba...
View Article