Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein, kwa pamoja wakiinua juu kuonyesha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kukabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta na kuizindua jana mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti, Samiah Suluhu, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri mjini dodoma jana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za makabidhiano ya Raismu ya Katiba mpya. ![]()

Baadhi ya Mabalozi waliohudhuria sherehe hizo
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa uwanjani hapo.
Baadhi ya Wajumbe na wageni waalikwa.
Sehemu ya wageni waalikwa.....
Jukwaa la wapiga picha.... KWA MUUKIO ZAIDI YA PICHA ZA SHEREHE HIZO BOYFA READ MORE
Bendi ya ikitoa burudani jukwaani.....
Baadhi ya wabunge wakifurahia wakati wakisebeneka na miondoko ya Taarab kutoka kwa Khadija Kopa
Mbunge wa Maswa John Shibuda, akijumuika na wasanii wa ngoma ya asili kutoka Mkoa wa Shinyanga kusebeneka...
Martha Mrata na Mageth Sita wakifurahia wakati wakiserebuka katika sherehe hizo.
Wajumbe wakiserebuka
|Serebuka....
Wajumbe wakirudi jukwaani....
Wasanii wa bendi ya TOT Taarab wakishambulia jukwaa.....
Baadhi ya wafanyakazi wa Bunge.....
Mrema akiungana na wajumbe wenzake kusherehekea.....
Kila mmoja alikuwa na furaha teleee.....
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na viongozi wa jukwaa kuu baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Wajumbe na wageni waalikwa wakisimama kuimba wimbo wa Taifa..
Jukwaa Kuu wakisimama kuimba wimbo wa Taifa....
Baadhi ya Wajumbe....
Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi Andrew Chenge, akisoma hotuba yake...
Wimbo maalum wa Katiba uliotungwa na kuimbwa na wajumbe wanawake....
Msanii Mrisho Mpoto na Ismail wakitoa burudani...
Rais Kikwete akikabidhi Vyeti kwa Wajumbe washiriki wa Bunge hilo....Paul Kimiti wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti Asha-Rose Migiro..
Zoezi la kukabidhi vyeti likiendelea kwa Wajumbe washiriki wa Bunge hilo..
Mbunge wa Maswa John Shibuda, akikabidhiwa cheti na Rais Kikwete.
Paul Makonda, akikabidhiwa cheti na Rais.....
Picha ya pamoja kwa kumbukumbu viongozi wakuu wa kitaifa na wenyeviti wa Bunge hhilo..
Picha ya pamoja......
Miraji Kikwete (katikati) akiwa na vijana wake wenye sare zinazoeneza ujumbe wa upendo na uzalendo.