*MUIGIZAJI ANAYEISHI SAN FRANCISCO ERNRST NAPOLEON ANAOMBA KURA ZENU
Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco Ernest Napoleon, anaomba Kura zenuErnest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco, amefanya movie inayoitwa Going Bongo...
View Article*MASHINDANO YA SHIMIWI YAFIKIA HATUA YA NUSU FAINALI MJINI MOROGORO
Timu ya kuvuta kamba ya wanawake ya Ikulu wakiwavuta timu ya Wizara ya Kilimo, Ushirika na Chakula (hawapo pichani) wakati wa mashindano ya kuingia hatua ya nusu fainali mashindano ya SHIMIWI leo...
View Article*KATIBA INAYOPENDEKEZWA YAKABIDHIWA RASMI KWA WAHESHIMIWA MARAIS WA TANZANIA...
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.KATIBA Inayopendekezwa imekabidhiwa rasmi 8 Oktoba, 2014 kwa Waheshimiwa Marais wa Tanzania Bara, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja Rais wa Zanzibar, Mhe. Ali...
View Article*SERIKALI YAWEKA MKAKATI KUPUNGUZA CHANGAMOTO ZA AJIRA KWA VIAJANA
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Fatma Mwassa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana jana mkoani Tabora.Kushoto ni ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na...
View Article*RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU WA UGANDA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za uhuru wa Uganda.Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda...
View Article*UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC WAMKARIBISHA BALOZI OMBENI SEFUE KWA...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwasili kwenye Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani alikokaribishwa chakula cha jioni wakiwemo viongozi mbalimbali wa...
View Article*BENKI YA POSTA YAZING'ARISHA TASWA FC NA TASWA QUUENS
Meneja mahusiano mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses (kushoto) akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya netiboli ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa Queens) Imani Makongoro...
View Article*WIZARA YA FEDHA YAKUTANA NA UONGOZI WA MFUKO WA CHANGAMAOTO ZA MILLENIA (MCC)
Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania. Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye...
View Article*MSAFARA WA KINANA ULIPOTUA WILAYA YA MUFINDI
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.Baadhi Wajumbe waliohudhuria mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mafinga Kaskazini...
View Article*WADAU WA VIJANA WASHIRIKI MDAHALO KATIKA WIKI YA VIJANA MKOANI TABORA
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissuiakizungumza katika mdahalo wa vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika...
View Article*ASKARI TRAFFIC WALIOPIGWA PICHA YA MAHABA WATIMULIWA KAZI, MPIGAJI NAYE OUT
JESHI la Polisi Mkoani Kagera limewatimua kazi askari wake watatu kwa kile kilichoelezwa kulifehesha jeshi hilo kwa kupiga picha za mahaba huku wakiwa eneo la kazi wakiwa wamevalia sare za kazi, huko...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI...
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, MASTAA NYOTA WA BENIN WATUA DAR KUIKABILI STARS JUMAPILI
*NYOTA WA BENIN WATUA DARKikosi cha wachezaji 18 na viongozi 11 wa timu ya Taifa ya Benin, kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi ya Kalenda ya FIFA dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili...
View Article*NSSF YAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA KILUVYA 'A' KISARAWE
*Wananchi Kunufaika na viwanja 444 vya NSSFFrank Mvungi-MaelezoShirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) laanza kuuza viwanja takribani 444 vyenye jumla ya mita za mraba 465,161 katika eneo la...
View Article*WAKAZI DAR WAASWA KUJITOKEZA KWENYE CHANJO YA MATENDE NA SURUA-RUBELLA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu zoezi la utoaji wa chanjo ya Matende , Mabusha, dawa za Minyoo, matone ya...
View Article*KINANA, NAPE WASHIRIKI KUCHUMA CHAI WILAYANI MUFINDI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakishiriki kuvuna majani ya chai, katika shamba la Uniliver, eneo la Ngwazi, katika wilaya ya Mufundi...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA PPF MWANZA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni la PPF mjini Mwanza leo jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto,ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John...
View Article*MWANAMUZIKI WA MSONDO NGOMA, JUMA KATUNDU AFUNGA NDOA NA AMINA SAID
Mwanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma, Juma Katundu, akipozi na mkewe Amina Said, 'Queen emmy' wakiwa na nyuso za furaha baada ya ya kufunga pingu za maisha hivi karibuni.
View Article*MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA KINANA JIMBO LA MUFINDI KUSINI
Hii gari ya aina yake ilikuwa kivutio kwenye mkutano. Vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU) Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...
View Article