Makamu Mkuu wa chuo kikuu huria Tanzania Prof Tolly Mbwette (kulia) akikagua timu zilizoshiriki katika bonanza maalum lililoandaliwa kwa ajili ya kuwakutanisha wafanyakazi na wanafunzi pamoja na familia zao bonanza hilo limefanyika Makao makuu ya chuo kikuu huria Tanzania kilichopo Bungo kibaha Pwani leo.
Prof. Tolly Mbwete, akizungumza na wachezaji wa timu hizo zilizoshiriki katika Bonanza hilo.
Makamu Mkuu wa chuo kikuu huria Tanzania Prof Tolly Mbwette (kulia) akimkabidhi baadhi ya meza na viti Mwalimu Anna Masaka, wa shule ya awali ya MONTE SORI, iliyopo mkuza Kibaha. Katikati ni Diwani wa kata ya mkuza, Issa Mukuwili, (kushoto) ni Naibu Makamu wa chuo kikuu huria Tnzania Prof Modest Varisanga. Sherehe fupi ya makabidhiano hayo ilifanyika sambamba na Bonanza la Chuo kikuu huria Tanzania ambalo limefanyika Makao makuu ya Chuo Mkoani Pwani, leo. Picha Chris Mfinanga
Prof. Tolly Mbwete, akizungumza wakati wa bonanza hilo.
Meza kuu ikifuatilia mchezo huo wa bonanza....