*COASTAL UNION 1 MGAMBO JKT 0
KUTOKA TANGA COASTAL INAONGOZA BAO 1-0 DHIDI YA MGAMBO JKT
View Article*KUTOKA UWANJA WA TAIFA DAR NI MAPUMZIKO BADO NI 0-0
KUTOKA UWWNJA WA TAIFA JIJINI DAR, MPIRA NI MAPUMZIKO MATOKEO BAO NI 0-0.KUTOKA SOKOINE JIJINI MBEYA AZAM FC 1 -MBEYA CITY 0.
View Article*DAKIKA 90 ZIMEMALIZIKA UWANJA WA TAIFA HAKUNA MBABE
MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA KATI YA YANGA NA SIMBA KWENYE UWANJA WA TAIFA UMEMALIZIKA HUKU TIMU HIZO ZIKITOSHANA NGUVU KWA KUTOKA SULUHU.KWA MATUKIO KAMILI YA PICHA ZA MCHEZO HUO, ZITAWAJIA BAADAE...
View Article*EXCLUSIVE: MANCHESTER UNITED IN TALKS TO SIGN £22m BRAZILIAN MIDFIELD BATTER
Old Trafford side chase Bundesliga tough tackler.Man United boss Louis van Gaal will look to bring in a strong defensively minded central midfielder in January and has earmarked a move for Wolfsburg...
View Article*CHUO KIKUU HURIA TANZANIA CHAFANYA BONANZA NA KUTOA MSAADA KATIKA SHULE YA...
Makamu Mkuu wa chuo kikuu huria Tanzania Prof Tolly Mbwette (kulia) akikagua timu zilizoshiriki katika bonanza maalum lililoandaliwa kwa ajili ya kuwakutanisha wafanyakazi na wanafunzi pamoja na...
View Article*CCM YATOA PONGEZI KWA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambacho kimemalizika leo mjini Dodoma na kutoka na mazimio ya kupitisha sera ya chama kujiendesha kiuchumi...
View Article*MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA...
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo...
View Article*MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE ALIPOUNGURUMA VIWANJA VYA FURAHISHA MWANZA JANA
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema, Halima Mdee, akipeana mikono kusalimiana na wafuasi wa Chadema baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana nabaadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo,...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MKUTANO MKUU WA WANACCM WILAYA YA ILALA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala,...
View Article*RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA
RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WASERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA TAREHE SHUGHULI19/10/2014 - 22/10/2014Mikutano ya Wanachama wote wa CCM Matawini kwa ajili ya kuelimishwa na kuhamasishwa kuhusu...
View Article*BI REHEMA AMEPOTEA KWA YEYOTE ATAKAYEMUONA ANAOMBWA KURIPOTI KITUO CHA...
Bi Rehema Salum Msambya pichani juu amepotea tokea tarehe 16/10/2014 maeneo ya Kigamboni - Kisota karibu na Shule ya Sekondari ya Abdu jumbe. Siku hiyo alikuwa amevaa Dela Na Skintirt ya Rangi ya Blue....
View Article*MANGULA, NAPE WAONGOZA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu,...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA)...
View Article*SIMBANET YAFANYA SIKU YA FAMILIA
Kampuni ya SimbaNET (T) Linited ya jijini Dar es Salaam Jumamosi hii iliandaa bonanza la michezo lililowakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni hiyo na familia zao. Siku hiyo ilikuwa ni ya kula...
View Article*TFF, KLABU VPL WAJADILIANA KUBORESHA SOKA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) wamekutana mwishoni mwa wiki na kujadili masuala mbalimbali ya kuboresha maendeleo ya mchezo huo nchini.Mkutano huo...
View Article*MECHI YA YANGA v/s SIMBA YAINGIZA SH. MIL 427/-
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000.Washabiki 49,542...
View Article*DIAMOND MATATANI KWA KUPANDA JUKWAA LA FIESTA NA MAVAZI YA JWTZ
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul 'Diamond', Pichani juu, akiwa jukwaani katika onyesho la Fiesta huku akiwa ametinga mavazi ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, ambapo hivi sasa...
View Article