*TRAFIKI APATA KICHAPO KWA KUSABABISHA AJALI HUKO KIBAHA KWA MFIPA
Gari la abiria aina ya Coastal na Fuso, yakiwa yamegongana uso kwa uso huko maeneo ya Kibaha kwa Mfipa mwishoni mwa wiki iliyopita. Shuhuda wa ajali hiyo ameueleza mtandao huu kuwa raia wenye hasira...
View Article*SIKU YA MSANII KUFANYIKA JUMAMOSI YA WIKI HII MLIMANI CITY JIJINI DAR-ES-SALAAM
Ofisa Uhusiano wa Siku ya Msanii Tanzania (SYM), Bw. Peter Mwendapole akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Siku ya Msanii Tanzania itakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City siku ya tarehe 25...
View Article*WAKULIMA WA ZAO LA SHAYIRI WATEMBELEA KIWANDA CHA KIMEA CHA TBL MKOANI MOSHI
MENEJA wa Kiwanda cha Kimea - Moshi, Vitus Mhus akiwaonyesha hatua ya kwanza ya zao la Shayiri linalotumika kutengenezea kimea mahali linapopokelewa kabla ya kuanza kuingizwa kiwandani.Wakulima hao...
View Article*LUNDENGA AANZA KUMTETEA MISS TANZANIA 2014 KUHUSU SAKATA LA UMRI
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sakata la umri halali...
View Article*RITA YAFANIKIWA KUSAJILI WANAFUNZI ELFU 15 MANISPAA YA ILALA.
Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu...
View Article*MDAU EBRA ATUA BONGO KUSHOW LOVE NA BINTIYE FAUZIA AKIGRADUATE
Mdau Ebra anayeishi jiji la New York, Marekani, akipozi kwa picha na binti yake, Fauzia, wakati wa sherehe ya mahafali ya kidato cha nne ya shule Sekondari Baobab ya Bagamoyo, mwishoni mwa wiki. Ebra...
View Article*MIS TANZANIA ASHINDWA KUJIBU MASWALI, AACHA MASWALI MENGI YASIYO KUWA NA...
1:-BABA MZAZI WA MREMBO HUYO HAJUI MWAKA HALISI ALIOZALIWA MWANAE? MBONA AMEKAA KIMYA???2:- WAANDAAJI WA MISS TANZANIA HAWAKUWAHI KUJIRIDHISHA NA VIGEZO KABLA YA KUSHIRIKI KWAKE KUANZIA VITONGOJI??,...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na...
View Article*TANZANIA KUANIKIZA MAFANIKIO YA LFI KWA MATAIFA 8
Mkuu wa ushauri wa ufundi wa Mfuko wa Umoja wa mataifa wa Ukuzaji Mitaji (UNCDF), Peter Malika akizungumza na washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa miradi chini ya programu ya Jitihada za Mahalia za...
View Article*PRESIDENT KIKWETE VISITS CHINA OIL COMPANY HQ IN BEIJING
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete visits China National Offshore oil Corporation CNOOC headquarters in Beijing this afternoon. President Kikwete is in China for a working visit. Photo by Freddy Maro
View Article*WAAJIRIWA WAPYA WIZARA YA HABARI, VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO WATAKIWA KUWA...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea kwa msisitizo kuhusu maadili ya Utumishi wa Umma wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa...
View Article*TOYOTA IPSUM INAUZWA, COMPRESSOR INAUZWA
Year 2001,Mileage 78200 kwa atakeyehitaji wasiliana na +255 788 000 768COMPRESSOR INAUZWACompressor zipo mbili, model ni Ingersolrand 7/4, 4cylinder diesel engine , year 2005Kwa wanaohitaji wasiliana...
View Article*KAIRUKI: SERIKALI KUENDELEA KUIWEZESHA TUME YA OPERESHENI TOKOMEZA
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki (MB) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Jaji Kiongozi Mstaafu Hamis Amir Msumi (kushoto) na...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BIALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA UBA TANZANIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba,...
View Article*CHANJO YA UGONJWA WA SURUA NA RUBELLA MANISPAA YA ILALA YAVUKA LENGO
Na Eleuteri Mangi-MAELEZOManispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa...
View Article*PUSH MOBILE MEDIA LTD, PARTNERS WITH APALYA TECHNOLOGIES FOR OTT VIDEO...
Push Mobile Managing Director, Freddie Manento (L) sainging a documents contract with Apalya Technologies International Business, Rishabh Gunjal, Apalya to provide best-in-class mobile video solutions...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI WA AFRIKA NCHINI CHINA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilkisha nchi zao nchini China wakati alipokutana nao jijini Beijing China leo asubuhi.Raius Kikwete yupo nchini China kwa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI TANZANIA IKULU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake...
View Article*MAADHIMISHO YA MIAKA 70 YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF KUANZA KESHO JIJINI ARUSHA
Meneja Kanda ya Kaskazini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Rajabu Kinande, akizungumza na Waandishi wa habari mjini Arusha, kuhusu Mkutano wa 7 wa Wadau wa LAPF, unaokwenda sambamba na maadhimisho ya...
View Article