Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MDAU EBRA ATUA BONGO KUSHOW LOVE NA BINTIYE FAUZIA AKIGRADUATE

$
0
0
 Mdau Ebra anayeishi jiji la New York, Marekani, akipozi kwa picha na binti yake, Fauzia, wakati wa sherehe ya mahafali ya kidato cha nne ya shule Sekondari Baobab ya Bagamoyo, mwishoni mwa wiki. Ebra amewasili nchini kwa ajili ya kuungana na bintiye katika kusherehekea kuhitimu masomo ya kidato cha nne.
 Ebra akipongezana na bintiye kwa furaha.
Ni machozi ya furaha, binti hakuamini kumuona baba yake katika viwanja vya shule hiyo kwani ilikuwa.ni saplaiz, na kutoamini umbali wa Marekani.na Tanzania kama angeweza kufika. Hongera sana Ebra kwa kuonyesha upendo wa pekee kwa mwanao.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>