*MWANRI: ZINGATIENI WELEDI WAKATI WA KUANDAA MAANDIKO YA MIRADI
Kaimu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wizara za viwanda na biashara, fedha, uchukuzi, nishati na...
View Article*HALMASHAURI ZA MAJIJI NA MANISPAA ZATAKIWA KUTUNZA NA KUHIFADHI MIRADI YOTE...
KAIMU KATIBU MKUU- OWM-TAMISEMI, ZUBERI M. SAMATABA, AKIFUNGUA MKUTANO HUO WA SIKU TATU. MR. ONOUR OZLY- MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA, ALIPOKUWA AKITOA MALEZO MAFUPI KUHUSU LENGO LA MKUTANO HUO. JANE...
View Article*JESHI LA POLISI LAKANUSHA TETESI ZA UTEKAJI WATOTO DAR ES SALAAM
Hussein Makame-MAELEZOJESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha vikali uvumi unaoendelea kuzushwa jijini Dar es Salaam kuhusu utekeaji nyara wa watoto wadogo wanaosoma shule za jiji...
View Article*OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA...
MkuuAfisa Maktaba wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Issa Magabiro akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza kuhusu machapisho mbalimbali yanayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
View Article*VIJIJI 1,800 KUPATA MAWASILIANO YA SIMU, INTERNET IFIKAPO MWAKA 2015
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (Kushoto) akifafanua jambo katika mkutano wa wadau wa mawasiliano ya Tehama ujulikanao kwa jina la Capacity Africa....
View Article*ELIMU YA URAIA NA UPIGAJI KURA HAIPASWI KUWA NA UTASHI WA KISIASA WALA...
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa shirika la kimataifa la sayansi, elimu na utamaduni (UNESCO) Bwana Al Amin Yusuph akielezea madhumuni ya warsha ya wadau wa mradi wa uchaguzi 2015...
View Article*CHANJO YA SURUA-RUBELLA, MATENDE NA MABUSHA KUTOLEWA.
Na Beatrice Lyimo- MAELEZO.Dar es salaam.Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inatarajia kufanya kampeni shirikishi ya ugonjwa wa Surua na Rubella kuanzia tarehe 18...
View Article*SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV kwa niaba ya Serikali ya...
View Article*RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakifurahi na kuimba wimbo wa chama wakati wa ufunguzi wa kikao...
View Article*KAMATI ZA BUNGE OKTOBA HADI NOVEMBA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIABUNGE LA TANZANIAKamati ya Bunge ya Bajeti inatarajia kuanza vikao vyake kuanzia tarehe 13 Oktoba hadi 2 Novemba, 2014. Katika vikao hivyo Kamati inatarajia kushughulikia...
View Article*VIJANA WAASWA KUJITAMBUA ILI KUONDOKANA NA UMASIKINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora,kushoto ni...
View Article*PRESIDENT KIKWETE MEETS UN SPECIAL ENVOY ON GREAT LAKES IN DODOMA TODAY
President Drk Jakaya Mrisho Kikwete welcomes UN Special Envoy fir the Great Lakes Region H.E Mr Said Djinnit at Dodoma State lodge this evening. The Two leaders then held talks concerning the current...
View Article*UTATA WAZIDI KUTANDA UMRI NA UHALALI WA MISS TANZANIA 2014
Baada ya kuonekana kuwa mrembo wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, amedanga kuhusu umri wake halali aliotakiwa kutaja ili Kamati ya mashindano ya Miss Tanzania iweze kumruhusu kushiriki...
View Article*LAPF YATOA TATHMINI YA UETEKELEZAJI WA MIRADI MBALIMBALI YA MFUKO HUO
Meneja wa Takwimu,Tathmini na Hadhari toka Mfuko wa Pensheni wa LAPF bw.Aboubakar Ndwata akiwaeleza waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali unaofanywa na...
View Article*MISA TANZANIA YAKUTANA NA MAAFISA HABARI KUJADILI CHANGAMOTO ZA UTOAJI TAARIFA
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika(MISATAN) Bwana Andrew Marawiti akizungumza jambo wakati akifungua kongamano na maafisa habari wa taasisi za serikali zilizofanyika...
View Article*KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa...
View Article*TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM WA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW (UKAGUZI WA IPTL)
TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM WA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW (UKAGUZI WA IPTL) Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inapenda kuujulisha Umma kuwa Ukaguzi Maalum wa akaunti ya Tegeta Escrow...
View Article*KUELEKEA PAMBANO LA WATANI WA JADI YANGA v/s SIMBA BADO MASAA MATATU KIELEWEKE
Huku Coutinho, Jaja, Ngassa na Niyonzima.Huku, Tambwe, Singano, Okwi na Kiemba.MATOKEO YA MECHI 3 ZA MWISHO ZA WATANI WA JADIMEI 18, 2013:- YANGA 2-SIMBA 0OKTOBA 20, 2013 YANGA 3-SIMBA 3APRILI 20, 2014...
View Article*WANAOANZA KUKIMBIZA MTANANGE WA YANGA v/s SIMBA
KIKOSI CHA YANGADeogratius Munisi "Dida" Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro" Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santos "Jaja", Mrisho Ngasa, Andrey...
View Article