*VISIT BY THE CHINA NATIONAL DEVELOPMENT AND REFORM COMMISSION
PRESIDENT’S OFFICE, PLANNING COMMISSION PRESS RELEASEVISIT BY THE CHINA NATIONAL DEVELOPMENT AND REFORM COMMISSION The delegation from the China National Development and Reform Commission (NDRC) will...
View Article*MAMA KANUMBA NA LULU NDANI YA FILAMU MPYA YA "MAPENZI YA MUNGU"
Hivi karibu Msanii Mahiri na Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama LULU ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo "MAPENZI YA MUNGU" ambapo moja kati ya...
View Article*CIRDA TRAINING WORKSHOP KICKS OFF FOCUS ON TECH TRANSEF AND INNOVATION FOR...
*CIRDA Training Workshop Kicks OffFocus on Tech Transfer and Innovation for Climate Change and Early Warning Systems14 October 2014-Dar es Salaam-UNDP Tanzania in partnership with 10 other African...
View Article*RAIA WAMSHAMBULIA TRAFFIC WA UBUNGO KWA KUSABABISHA AJALI
Wananchi waliokuwepo eneo la Ubungo leo mchana wamemshambulia askari wa usalama barabarani kwa kile walichodai kuwa amesababisha ajali. Watu hao walianza kumshambulia askari huyo huku wakimtwanga...
View Article*KIJANA APIGISHWA MBIZI KWENYE DIMBWI LA MAJI YA BARABARANI KWA KUKUTWA...
Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) akimwadhibu kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, kwa kumpigisha mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani baada ya kukutwa akiwa...
View Article*RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE MKOANI TABORA
Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge ulius na kumbukumbu ya Baba wa Taifa...
View Article*MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA YA DHAMINI KONGAMANO LA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha(katikati) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga...
View Article*TAARIFA YA MSIBA
Menejimenti ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bw. Amin Elias Mbaga aliyekuwa Meneja Uhusino kilichotokea tarehe 13.10.2014 katika Hospitali ya Regency...
View Article*MAJUMUISHO YA MKUTANO WA IMF NA WB
Bw.Herve’ Joly ambaye ni Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile...
View Article*BALOZI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAJENGO YA VIKUNDI VYA UCHUMI...
Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama na wanavikundi vya uchumi wa Kijiji cha Lugagala wakishangiria ujio wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliyefanya ziara ya kukagua miradi ya kiuchumi...
View Article*MAAFISA MIPANGO WASHIRIKISHE MAKUNDI MAALUM UPANGAJI BAJETI - DED IKUNGI
Mkuu wa shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi, Mwl. Olivary Kamilly, akitoa taarifa yake kwenye kilele cha mahafali ya 63 yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule hiyo kongwe iliyoanzishwa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycap Kadinali Pengo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi...
View Article*BALOZI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MSIKITI WA JIDAH, RUVUMA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji cha Peramiho { Masjid Jidah } wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma....
View Article*TANZANIA YAJIPANGA KUWA NCHI YA VIWANDA ILI KUINUA UCHUMI WA NCHI
Kiongozi wa Msafara huo, Bw. Wang Jianjun (Aliyesimama) ambaye ni Naibu Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji kutoka Tume ya Mipango na Maendeleo ya China akizungumza wakati wa ziara hiyo. Naibu...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, UCHAGUZI MDOGO TPLB KUFANYIKA NOVEMBA 15
Mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) utafanyika Novemba 15 mwaka huu jijini Dar es Salaam ambapo moja ya ajenda ni uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi moja ya uongozi kwenye bodi hiyo.Nafasi...
View Article*SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE WA VIJIJINI KUFANYIKA LEO OKTOBA 15, 2014
Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini Oktoba 15, 2014Mama Ye! imeandaa taarifa mbalimbali kuhusiana na hali halisi ilivyo kwa wanawake waishio vijijini nchini mwetu. Ikumbukwe kuwa wengi wa...
View Article*RAIS KIKWETE ATOA URAIA KWA WAKIMBIZI 162,000 WA BURUNDI - ATUA DODOMA...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wakimbizi 162,000 kutoka Burundi waliopatiwa hati za uraia wa Tanzania katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Tabora jana. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...
View Article