Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*AJALI ZILIZOTOKEA LEO KIBAHA NA KIMARA BUCHA

$
0
0
Gari aina ya Fuso, likiwa limeingia kwenye nyumba huko maeneo ya Kibaha leo alfajiri majira ya saa kumi baada ya kuacha njia ambapo lilipozwa spidi kwa kuanza kuingia katika frem za maduka yaliyokuwa mbele ya nyumba hiyo.
Raia wakiangalia roli lililoteketea kwa moto baada ya kupinduka maeneo ya Kimara Bucha na kuwaka moto usiku wa kuamkia leo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>