*AFRICA DIASPORA MARKETPLACE III LAUNCHED AT TANZANIA EMBASSY
Jeffrey L. Jackson, Senior Private Sector Advisor, USAID speaking about the launch of ADM III. The Embassy of Tanzania in Washington, DC hosted the launch of the African Diaspora Marketplace III...
View Article*KAMATI YA BUNGE HUDUMA ZA JAMII YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI MITATU YA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Rajabu (aliesimama) akizungumza wakati wa kuwakaribisha Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii,waliofanya ziara...
View Article*AJALI ZILIZOTOKEA LEO KIBAHA NA KIMARA BUCHA
Gari aina ya Fuso, likiwa limeingia kwenye nyumba huko maeneo ya Kibaha leo alfajiri majira ya saa kumi baada ya kuacha njia ambapo lilipozwa spidi kwa kuanza kuingia katika frem za maduka yaliyokuwa...
View Article*UMOJA WA MATAIFA YAINYUKA WIZARA YA MAMBO YA NJE MABAO 3-0 KWENYE BONANZA LA...
Timu ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa (jezi za blue bahari) na timu ya wafanyakazi wa Wizaya ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakimenyana uwanjani kwenye UN Family Day iliyofanyika...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TANO LA KIMATAIFA KUJADILI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi...
View Article*AJALI MBAYA IMETOKEA MADIRA JIJINI ARUSHA JIONI HII HICE NA ROLI
Ajali mbaya imetokea leo majira ya saa kumi na moja jioni huko maeneo ya Madira Arumeru jijini Arusha, iliyohusisha gari la abiria aina ya Hice na Roli lenye tera. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza...
View Article*RAIS MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara baada ya...
View Article*SERIKALI YASHAURIWA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA FILAMU NCHINI
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiowaonyesha mabango ya filamu za Tanzania wageni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (hawapo pichani) walipotembelea ofisi za Bodi hiyo...
View Article*TFF YAOMBA WADAU KUJITOKEZA KUBUNI JEZI MPYA YA TIMU ZA TAIFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linakaribisha wabunifu, kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa kwa mechi za nyumbani na ugenini. Ubunifu ni lazima uzingatie rangi za bendera ya...
View Article*SDL KUANZA KUTIMUA VUMBI NOVEMBA 22
Michuano ya Ligi Daraja la Pili (SDL) inayoshirikisha timu 24 zitakazocheza katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini itaanza kutimua vumbi Novemba 22 mwaka huu.Kamati ya...
View Article*29 WAITWA KIKOSI CHA MABORESHO YA TIMU YA TAIFA (TAIFA STARS)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linatarajia kuendelea na awamu ya pili ya maboresho ya timu ya Taifa (Taifa Stars) inayojumuisha vijana wenye umri chini ya miaka miaka 23.Katika awamu hii,...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA KITAIFA KUHUSU UBORESHAJI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 4 wa kitaifa kuhusu uboreshaji Viwango vya huduma ya Afya. Mkutano huo ulifanyika jana Octoba...
View Article*PRESIDENT KIKWETE KIKWETE MEETS CYRIL RAMAPHOSA AT STATE HOUSE
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with South Africa's Deputy President Cyril Ramaphosa at State House Dar es Salaam when the later paid him a courtesy call yesterday evening. Photos...
View Article*CCM YATOA PONGEZI KWA FRELIMO KWA USHINDI KATIKA UCHAGUZI MSUMBIJI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,makao makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam.CCM YAIPONGEZA FRELIMO
View Article*MAKOCHA 35 KUSHIRIKI KOZI YA LESENI C YA CAF
Makocha 35 wameteuliwa kushiriki kozi ya ukocha ya Leseni C ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) itakayofanyika mjini Morogoro kuanzia Novemba 5 hadi 19 mwaka huu.Kozi hiyo itaendeshwa na...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA MSONDO IKULU DAR LEO
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipiga picha ya pamoja na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo wakati Viongozi hao...
View Article*RAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya tutmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere...
View Article*BALOZI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA 17 WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifunga Mkutano wa 17 wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa ukiendelea katika Ukumbi wa Baraza hilo uliiopo Mbweni Nje kidogo ya Mji wa...
View Article*SEMINA YA FULSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA...
Kushoto ni Dkt. Frank Forka ambaye ni mkurugenzi PGCEDC Africa Trade Office akielezea njia za kufuata kwa mwekezaji kutoka Tanzania anapokuja kutafuta au kufanya mazungumuzo na wawekezaji wa Kimarekani...
View Article*WAZIRI MKUU ANOGESHA HAFLA YA KUCHANGIA MADAWATI, JIJINI DAR
Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni...
View Article