*BONDIA SAIDI MBELWA AMCHAPA GEORGE DIMOSO KWA POINTI
Bondia Georger Dimoso (kushoto) akipambana na Said Mbelwa wakati wa pambano lao lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Friends Corner Manzese, jijini Dar es Salaam. Katika pambano hilo,...
View Article*MKUTANO WA CCM KIBANDAMAITI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.ALi Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na WanaCCM Kibandamaiti katika mkutano wa Hadhara...
View Article*CHINA TO BOOST BAGAMOYO SPECIAL ECONOMIC ZONE
A permanent Secretary in the Ministry of Finance Dr.Servicius Likwelile, a representative from the Sultanate of Oman together with an official from China Merchants Holdings International sign a...
View Article*LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA YA MAPENZI YA MUNGU, YATUA RASMI SOKONI LEO
Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU...
View Article*CHANZO CHA MAJI IKORONGO NDIYO MKOMBOZI WA MJI WA MPANDA
Wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiangalia chanzo cha chemichemi ya maji cha Ikorongo kilichoko kilometa 13.2 kutoka Mpanda mjini. Chanzo hicho kina uwezo wa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA HAFLA YA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa hafla ya kuchangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni...
View Article*NECTA YAFANIKIWA KUDHIBITI UDANGANYIFU NA WIZI WA MITIHANI YA TAIFA NCHINI
Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Bw. Daniel Mafie akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar s salaam kuhusu utaratibu wa kutoa nakala za vyeti kwa...
View Article*WAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Oman Oktoba 27, 2014. Kushoto...
View Article*MAMBO YAZIDI KUNOGA KUELEKEA TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL
WASANII kutoka ndani na nje wanatarajiwa kupamba tamasha la Muziki la Kimataifa la ‘Karibu Music Festival’ litakalofanyika kwa siku tatu kwenye mji wa Kihistoria wa Bagamoyo, Novemba 7 hadi 9 mwaka...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA MWEZI WA WANAWAKE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, wakati aliwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini...
View Article*TATIZO LA UMEME KUPATIWA UFUMBUZI IFIKAPO JUNI MWAKANI
NA MAGRETH KINABO. MAELEZOTATIZO la kutokuwepo umeme katika jijini Dares Salaam hususan maeneo ya katikati ya mji na nje kidogo ya mji na mkoa wa Arusha, ikiwemo mikoa ya Mwanza na Shinyanga...
View Article*RAIS MALINZI KUFUNGUA KOZI YA FUTURO III
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kesho (Oktoba 29 mwaka huu) anafungua kozi ya ukufunzi wa waamuzi ya FUTURO III ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu...
View Article*SALUM ABUBAKAR MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA
Kiungo wa timu ya Azam, Salum Abubakar amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inayoendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini.Abubakar ambaye pia ni...
View Article*RAIS KIKWETE AONDOKA VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje...
View Article*CHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI, AKOSA DHAMANA NA APELEKWA SEGEREA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop, Rashid Makwiro, ‘Chidi Benzi’ akisindikizwa na askari Polisi wakati akiwasili katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es...
View Article*SOMA HAPA TAARIFA RASMI KUHUSU WAZIRI NYALANDU
TAARIFA RASMIKatika gazeti la Jamhuri la Jumanne Agosti 19 – 25, 2014 ISSN No. 1821-8156 Toleo No. 150, zilichapishwa taarifa potofu zenye kichwa cha habari; KASHFA IKULU;· Nyalandu atumia...
View Article*AJALI YA CONTENA LILILOANGUKIA HICE HUKO TEGETA LEO MCHANA
Ajali iliyotokea leo mchana huko maeneo ya Tegeta Kibaoni, ambapo mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa Contena hilo lilikuwa likishuka kutokea eneo la wazo na kuferi breki ambapo lilikata kona ya...
View Article*RAIS KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA UTUMISHI WA UMMA.
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi Claudia Mpangala akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Kongamano la maadhimisho ya Miaka 10 ya Tume hiyo tangu kuanzishwa kwake ambalo litafanyika katika...
View Article