Ajali mbaya imetokea leo majira ya saa kumi na moja jioni huko maeneo ya Madira Arumeru jijini Arusha, iliyohusisha gari la abiria aina ya Hice na Roli lenye tera. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni hice iliyokuwa ikijaribu kuovatake eneo lisilo salama. Katika ajali hiyo watu kadhaa wamepoteza maisha hususan waliokuwa katika Hice.
Roli hilo lililogongana na Hice
Roli hilo lililogongana na Hice