Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM mara baada ya kupokelewa katika Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ,ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akivishwa skafu na kijana wa chipukizi wa Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili katika wilaya ya Nachingwea kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia jambo na baadhi ya wanachama cha Mapinduzi mara baada ya kupokelewa katika Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM mara baada ya kupokelewa katika Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM mara baada ya kupokelewa katika Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho. Picha na Magreth Kinabo- maelezo