*KONGAMANO LA CCM UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na Wananchi wa CCM na Wanachama katika Kongamano maalum la maadhimisho ya...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AKIPOKELEWA NACHINGWEA JANA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM mara baada ya kupokelewa katika...
View Article*KOCHA NOOIJ AITA 24 STARS KUIKABILI SWAZILAND NOVEMBA 16
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya Swaziland itakayochezwa Novemba 16...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAJI HISA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO: WADAU KUBUNI JEZI MPYA YA TIMU ZA TAIFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linakaribisha wabunifu, kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa kwa mechi za nyumbani na ugenini. Ubunifu ni lazima uzingatie rangi za bendera ya...
View Article*UN YAPONGEZA MKAKATI WA KUELIMISHANA KUHUSU SDGs
Katibu Mkuu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Mzee akifungua rasmi warsha ya siku moja ya iliyohusisha wadau mbalimbali wa maendeleo, kuangalia malengo ya programu ya maendeleo endelevu...
View Article*RATIBA: 2014 COPA COCA-COLA NATIONAL TOURNAMENT
2014 COPA COCA-COLA NATIONAL TOURNAMENT GROUP STAGE GROUP IM/NHOME AWAYGROUNDDATETIMERESULTSimiyu1SimiyuvsKigomaKarume13.12.201416.00 hrs Kigoma5MbeyavsLindi 14.12.201408.00 hrs Mbeya9KigomavsMbeya...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA QATAR ALIYEMALIZA MUDA WAKE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish,...
View Article*WATANZANIA WATAKIWA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO
Aliyekuwa MJumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini...
View Article*RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA...
MAKATIBU WAKUU WA WIZARA Rais Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja, uteuzi uliomuondoa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA IJITIMAI YA KIMATAIFA MJINI MOROGORO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi semina ya mafunzo ya Kiislamu (IJITIMAI) iliyofunguliwa jana Novemba 7, 2014 kwenye...
View Article*UUZAJI MCHANGANYIKO WA TIKETI MWISHO WIKIENDI HII
Uuzaji mchanganyiko wa tiketi za elektroniki kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) utakoma baada ya mechi mbili za wikiendi hii kati ya Yanga na Mgambo Shooting na Simba na Ruvu Shooting zitakazochezwa...
View Article*APPLE CONSOLIDATES PRESENCE IN TANZANIA'S MARKET
iStore Chief Executive Officer, Vipul Shah, talks to invited guests and visitors during the official inauguration of the shop as official Apple Premium Reseller outlet at Mlimani City in Dar es Salaam...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8, 2014...
View Article*ETI HII NDIO BARABARA ILIYOKARABATIWA KWA MILIONI 90 UKONGA MAZIZINI- MOSHI BAR
Hii ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi...
View Article*OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA ZA MFUMUKO WA BEI NCHINI
Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mfumuko wa bei...
View Article*MASHINDANO YA MASHUA YA MERCEDES BENZ CUP 2014 YAFANA JIJINI DAR
Moja ya mashua ikisukumwa kurejeshwa katika eneo lake la hifadhi baada ya kumaliza mashindano hayo.*********************************Na Mwandishi wetuMICHUANO ya siku 2 mwaka ya waendesha mashua za...
View Article*WAZIRI MKUU ATAKA VITA DHIDI YA UJANGILI IWE YA PAMOJA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri mara baada ya kuwasili kwenye makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki kufunga Mkutano wa kupiga...
View Article*AMIGOLAS KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU
Mwimbaji wa zamani wa bendi ya African Stars, Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo, anatarajia kuzikwa leo katika...
View Article