Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*DUNIANI KUNA VITUKO, TAJIRI MAARUFU NIGERIA AZIKWA AKIWA NDANI YA GARI LAKE LA HUMMER

$
0
0
 Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.
Tayari wakianza kufukia gari hilo kama inavyokwa kawaida kufukia Jeneza baada ya kukamilika kwa taratibu zote.  ''ETI SHIKAMOO PESA''

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>