Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BUNGE LAAHIRISHWA HADI SAA KUMI JIONI KIELEWEKE, SOMA MAJINA YA WANAOINGIA...

Kutokana na mambo kutokaa sawa kuhusu mjadala unaoendele mjini Dodoma kuhusu sakata la fedha za Escrow, kikao hicho cha Bunge kimehairishwa kwa mara ya pili leo.Baada ya kuahirishwa kikao hicho sasa...

View Article


*ENJOY NA VIDEO YA TUPOGO REMIX - OMMY DIMPOZ

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HELKOPTA YAANGUKA KIPUNGUNI DAR NA KUWAKA MOTO, YAUA

 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Helkopta inayosemekana kuwa inamilikiwa na Tanapa imeanguka huko maeneo ya Kipunguni, na kuuwa watu wote wanne waliokuwa wakisafiri na helkopta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO KATIKA PICHA AJALI YA CHOPA HUKO KIPUNGUNI DAR

 Helkopta aina ya Chopa iliyoanguka maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam, leo asubuhi na kuua watu wanne waliokuwemo akiwa ni rubani pamoja na askari watatu. Miili ya watu waliokuwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BREAKING NEEEEEWZ!!!! RAIS JAKAYA AZUNGUMZA NA WANAHABARI BAADA YA KUTUA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam muda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AWAKONGA WANACCM WA MTWARA VIJIJIN

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TANZANIA YAPATA UENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Wazari wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa KICC baada ya kutangazwa kukabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ALIVYOPOKELEWA IKULU DAR LEO

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili ikulu leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wafanyakazi wa ikulu waliojitokeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TANGAZO LA MSIBA

Mrakibu wa Polisi-Captain Kidai Senzala Kaluse enzi za uhai wake. Familia ya Mzee Senzala Kaluse wa Kimara Mwisho Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao KIDAI SENZALA KALUSE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 3 WA WAKUU...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wa tatu kutoka (kushoto) Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, (kushoto kwake) Makamu wa Rais kwanza wa Burundi, (kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. ABDULLAH MWINYI ASHEREHESHA MAZOEZI YA TMK JOGGING

 Mh. Abdullah Mwinyi (wa pili kulia) akishiriki Jogging na baadhi ya viongozi wa Temeke Jogging Association, wakati alipokuwa mgeni katika mbio hizo zilizofanyika jana asubuhi Mbagala. Akishiri mazoezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI,...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MISA YA KISWAHILI YA THANKSGIVING YAFANYIKA BALTIMORE, MARYLAND

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika leo Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAIFA STARS YA MABORESHO YAINGIA KAMBINI

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kimeingia kambini leo (Desemba 1 mwaka huu) Bulyanhulu mkoani Shinyanga kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA KIPINGU ATOA MISAADA KWA SHULE ZA MONTESORY, ULONGONI B

Mkurugenzi wa Zugo Gold Mining na Mwakilishi wa Wanawake, Maendeleo ya Vijana na Ajira kwa Wachezaji wa Shirikisho na Ngumi za Ridhaa Tanzania (*BFT), Zuwena Idd Kipingu akizungumza na wazazi kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKE AKIRI MUMEWE BALENGA KUUZA NYUMBA KWA MFANYABIASHARA MACHA BAADA YA...

DAR ES SALAAM, TanzaniaMKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKUU WA MKOA WA PWANI MGENI RASMI TAMASHA LA VYUO –NACTE INTER COLLEGE...

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mh, Mwantumu Mahiza siku ya jumamosi wiki hii anatarajia kuongoza Bonanza la Wanavyuo linaloendea sehemu mbali mbali na ikiwa ni sehemu ya tatu kwa kanda ya kaskazini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UWANJA WA NDEGE MPANDA WATAKIWA KUTUNZA NA KUILINDA MIUNDOMBINU

 Sehemu ya barabara ya kutua na kurukia ndege katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda. Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakipata maelekezo ya uendelezaji wa Uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DUNIANI KUNA VITUKO, TAJIRI MAARUFU NIGERIA AZIKWA AKIWA NDANI YA GARI LAKE...

 Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TRENI NA MAGARI VYOTE NJIA MOJA BILA SHAKA 'HAPA HAKUNA GARI KUGONGA TRENI'

 Kwa wenzetu sijui ni akili nyingi ama walitangulia kuzaliwa kabla ya watu weusi???, Hapa kama inavyoonekana Usafiri wa Treni umewekewa njia yake katikati ya barabara ambapo njia hiyo inatumiwa na...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live