*MARTINE KIBOSHO ANAVYOWAPAGAWISHA MAJUU, KWA 'CHIPS'
Mpiga drams maarufu nchini, aliyepata kupiga kazi na bendi Extra Bongo, Martine Kibosho, ambaye ni ndugu moja na mpiga drams wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', James Kibosho, anazidi kung'ara...
View Article*TUZO ZA WANAMICHEZO BORA WA TASWA KUTOLEWA DESEMBA 12
Kamati ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), imekutana Dar es Salaam leo na kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA CAG MPYA, IKULU JIJI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimwapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad, leo Ikulu jijini Dar es salaam.Rais wa...
View Article*BENKI YA NBC YATOA MISAADA KWA WAGONJWA WA MUHIMBILI
Mdhibiti Uhalifu wa Kifedha wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Thomas Mgonja (kushoto) akikabidhi msaada wa sabuni kwa Enesi Sanga ambaye mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili....
View ArticleTAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI.
Mkutano na Waandishi wa HabariLini: Alhamisi (Desemba 4 mwaka huu)Muda: Saa 5 asubuhiMahali: Ofisi za TFF, Jengo la PPF Tower, Ghorofa ya 3, Hamburg Avenue na Ohio StreetShirikisho la Mpira wa Miguu...
View Article*MAADHIMISHO YA WIKI YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI YATIA FOLA JIJINI DAR ES SALAAM.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shabaani Mwinjaka wa pili kutoka (kulia)akipata maelezo kutoka kwa Muongoza ndege kiwanja cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNIA) Mossy Kitangita wakati...
View Article*TAMTHILIA YA SIRI YA MTUNGI YAZINDULIWA RASMI,BODI YA FILAMU YAIFAGILIA
Muongozaji wa Tamthilia ya Siri ya Mtungi, Jordan Riber akizungumza katika uzinduzi wa tamthilia hiyo Sehemu ya pili kwenye ukumbi wa Cinemax Century jijini Dar es salaam.MC wa shughuli ya uzinduzi wa...
View Article*KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA...
Waziri Lukuvi akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti cha ushiriki mzuri wa siku ya walemavu mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa...
View Article* MAZISHI YA MRAKIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA...
Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es...
View Article*DKT SHEIN AKABIDHI BOTI NA MASHINE MICHEWENI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Boti na Mashine Bw.Shamte Hamadi Juma wa Kijiji cha Maziwa Ng'ombe Wilaya ya Micheweni kwa niaba ya kikundi cha...
View Article*MECHI YA NANI MTANI JEMBE KUCHEZWA TAREHE 13 DISEMBA
Mechi ya Nani Mtani Jembe 2 kati ya Simba na Yanga zinazodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itachezwa Jumamosi, Disemba 13, 2014 saa kumi kamili jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View Article*TBL YAMKABIDHI KAMANDA MPINGA RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA NCHINI
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa...
View Article*SUMATRA YATAHADHARISHA WANAOSAFIRI KIPINDI CHA MSIMU WA SIKU KUU ZA MWISHO...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam jana juu ya hali ya usafiri...
View Article*DK SHEIN AHUTUBIA WILAYA YA MKOANI
Balozi kutoka Jimbo la Makoong’we Bi Salama Bakari ni miongoni mwa Mabalozi waliotoa michango mbali mbali katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo...
View Article* WAHITIMU 130 WA CHUO KIKUU CHA ARDHI (ARU), WATUNUKIWA TUZO KWA KUFANYA...
Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba...
View Article*NATIONAL BANK OF COMMERCE
NATIONAL BANK OF COMMERCETAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUongozi wa NBC umebaini kuwepo kwa ujumbe kupitia mitandao ya jamii unayohusisha NBC na wizi wa fedha za wateja kwa kupita mashine za kutolea fedha...
View Article*ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO ZA TASWA 2013/2014
KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo...
View Article*AMANA ZA WA.TEJA ZIPO SALAMA YASEMA NBC
Kaimu Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jimmy Myalize (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo akitoa ufafanuzi wa tatizo la huduma za kibenki...
View Article*MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA
1Waziri Mkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi...
View Article