*RAIS OBAMA AMTUMIA SALAMU ZA KHERI RAIS KIKWETE
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini...
View Article*KIEMBA AWAFUATA DIDIER NA DOMAYO KUKIPIGA AZAM FC
Na Mwandishi Wetu, DarKIUNGO mahiri wa Simba Amri Kiemba, ameanza rasmi kufanya mazoezi na klabu ya soka ya Azam Fc, ikiwa ni mpango wa kukipiga katika klabu hiyo baada ya kukamilika kwa uhamisho wake...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba...
View Article*ZOEZI LA KUJIANDIKISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni , Asha Bakari (kushoto) akijiandikisha leo kwa mwandikishaji wa kituo cha cha kujiandikisha cha kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Beatrice Likundo...
View Article*MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI ZIWA NYASA
Wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipata fursa ya kujionea meli pekee inayotoa huduma ya kusafirisha abiria na mizigo (MV Songea) katika Ziwa...
View Article*KINANA AKIUNGURUMA NANYUMBU
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara baada ya kupokea taarifa za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya...
View Article*MISS TANZANIA 2012 BRIGITTE ATOA MAFUNZO YA UJASILIAMALI KWA WALEMAVU WA NGOZI
Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred akiteta na wanafunzi waliofika kuangalia jinsi mafunzo ya Ujasiriamali yakiendeshwa na Taasisi ya mrwembo huyo (BAF) na Taasisi ya Junior Achievements Tanzania. Miss...
View Article*BREAKING NEEEEEWZ!!!, SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ANG'OLEWA
HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, MAGRETH ZZIWA, AMENG'OLEWA RASMI KATIKA NAFASI HIYO NA KUTEULIWA MBUNGE MWANAUME, KUSHIKA NAFASI HIYO KWA...
View Article*EMERSON ATUA BONGO KUZIBA NAFASI YA JAJA YANGA
Mchezaji mpya wa Yanga,Emerson Oliveira Neves Roque akiwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuwasili nchini leo kwa ajili ya majaribio ya kujiunga na Klabu ya Yanga ya...
View Article*OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU KUADHIMISHA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA KESHO
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephrahim Kwesigabo, akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dar es Salaam...
View Article*DAFTARI LA WAPIGA KURA HADHARANI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha...
View Article*KINANA AUNGURUMA NEWALA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchagua korosho na kuzitenga kutokana na ubora wa madaraja kwenye kiwanda cha Micronix kilichopo Newala mkoani Mtwara. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
View Article*MAADIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM,...
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam” na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka...
View Article*SHEIKH PONDA AIBUKA KIDEDEA RUFAA YAKE MAHAKAM KUU LEO
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (wa pili kushoto) akitoka katika chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kushinda rufaa ya kupinga hukumu...
View Article*PESA ZA ESCROW ZITO NAE YUMO, ALIPULIWA NA RAFIKI YAKE KIPENZI, LUSINDE
Hii ndiyo barua iliyoandikwa na zito kwa ajili ya kukopa fedha hizo za Escrow kumpeleka mama yake india kutibiwa. Barua hii iliyo na vithibitisho kadhaa pamoja na kopi ya leseni ya aliyetumwa...
View Article*UPINZANI WA MASHABIKI WA SIASA NI KAMA MASHABIKI WA SOKA, CCM NA CUF DUGU MOJA
Hapa vita baina ya wapinzani, mashabiki wa Vyama vya Siasa, itasubiri sana kwa hata wao wamekuwa kama mashabiki wa soka wanapokwenda uwanjani na kurudi nyumbani huitana na kupanda gari ama usafiri...
View Article*KINANA AUNGURUMA TANDAHIMBA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa zao la korosho lina hadithi nyingi sana na njia pekee ya kuleta ukombozi kwa mkulima ni...
View Article*EMRSON AANZA RASMI MAZOEZI NA KLABU YA YANGA
Kiungo mpya wa Yanga kutoka nchini Brazil, Emerson de Oliveira (wa pili kutoka kulia) akiwa mazoezini na wachezaji wenzake jana asubuhi katika uwnaja wa shule ya sekondari Loyola, wengine kutoka...
View Article*VICOBA NI KAMA MKOMBOZI WA WANYONGE NCHINI -SERIKALI
Na Eleuteri Mangi- DodomaSerikali imesema kuwa VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni mwa tasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa,...
View Article