Bondia Ramadhani Shauri (kushoto) akisaini mkataba wa kucheza pambano la ubingwa wa UBO utakaofanyika Oktoba 27, mwaka huu jijini Dar es salaam na mpinzani wake (kulia) Cosmas Cheka wa Morogoro wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter (nyuma) picha na Super D
![]() |
Bondia Cosmas Cheka wa Morogoro akisaini mkataba wa kucheza pambano la ubingwa wa UBO na mpinzani wake, Ramadhani Shauri (kushoto). |
![]() |
Promota wa Mpambano wa Ubingwa wa UBO Kaike Siraju (katikati) akiwatambulisha mabondia Ramadhani Shauri (kushoto) na Cosmasi Cheka watakaopigana Oktoba 27 jijini Dar es salaam. |