*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MABADILIKO BARAZA LA WAMAZIRI WA SERIKALI...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika...
View Article*MAMA TUNU PINDA AZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WATOTO WA KIKE NCHINI
Mgeni rasimi Mama Tunu Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya kumsadia mtoto wa kike (kushoto) kwake ni mkururugenzi Mtendaji wa Tmarc, Bibi Diana Kisaka, ambao ni waandaaji wa mradi huo...
View Article*COSMAS CHEKA KUZIPIGA NA RAMADHAN SHAURI OKTOBA 27 KUWANIA UBINGWA NA UBO
Bondia Ramadhani Shauri (kushoto) akisaini mkataba wa kucheza pambano la ubingwa wa UBO utakaofanyika Oktoba 27, mwaka huu jijini Dar es salaam na mpinzani wake (kulia) Cosmas Cheka wa Morogoro wengini...
View Article*TAYARI 'KIMENUKA' VICTORIA SOUND BAND, MUUMINI NA SONYO WACHAPANA LIVE KAVU...
BAADA ya kuvuliwa urais 'Kocha wa Dunia sasa wanamuziki wawili nguli, Waziri Sinyo na Muumin Mwinjuma, Rais wa zamani wa bendi ya Victoria Sound, wamezichapa kavu kavu live wakati wa mazoezi ya bendi...
View Article*HATI ZA KUMILIKI ARDHI ZITOLEWE UPYA, ZA DIJITALI NA ZIHUSISHWE NA NAMBA YA...
Kamati ya Hesabu za Serikali imekutana na Wizara ya Ardhi kwa madhumuni ya kupitia Hesabu za Wizara kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 2012. Changamoto za Wizara ni nyingi sana na Mdhibiti na Mkaguzi...
View Article*HUU NI WIZI MTUPU, HALMASHAURI MNAHUSIKA AU HAMJUI?????
Na www.sufianimafoto.comMfanyakazi wa Inayojiita kampuni ya kukusanya Ushuru ya MTAA WA OYSTERBAY BEACH PARKING, ambaye hakutaka kutaja jina lake akiandika risiti ya ushuru wa maegesho ili kuweka...
View Article*ORODHA YA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU WAKUU WAPYA, WANAOHAMA NA KUSTAAFU HII HAPA
Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akizungumza na Waandishi wa Habari jana jioni kuhusu Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Salvatore...
View Article*TANGAZO LA MSIBA WA VICKY KITOSI (DOTTO)
FAMILIA ya Mzee Augustino Mgonja wa Pugu Kajiungeni Dar es Salaam na Familia ya Marehemu Bwana na Bibi Henry Kitosi (Mwakitosi) wa Iringa zinasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao, VICTORIA KITOSI...
View Article*ALHAJ MWINYI NA MZEE MKAPA WAWASILI ZIMBABWE KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA...
Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Harare,...
View Article*BENKI YA BARCLAYS YATOA ZAWADI KWA WASHINDI
NA ELEUTERI MANGI- MAELEZOBENKI ya Barclays Tanzania imechezesha droo yake ya tatu na ya mwisho kwa kampeni ya “Maisha bomba na Barclays Golden Briefcase” kwa wateja wake ambapo wateja 13 wamepata...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Khamis Mussa,kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana. Rais...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA MABADILIKO MAKATIBU WAKUU
NA MAGRETH KINABO NA ELEUTERI MANGI – MAELEZORAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya uongozi katika ngazi za juu za utendaji wa Serikali katika ngazi za nafasi za makatibu wakuu na naibu makatibu...
View Article*WAKULIMA WA SHAYIRI BABATI WANUFAIKA NA MSAADA WA PEMBEJEO ZA TBL
Mhasibu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Octaty Minja (kushoto), akioneshwa na mkurugenzi wa kampuni ya Agric Evolution inayomiliki shamba la kuzalisha shayiri katika Kijiji cha Sigino, Kata ya...
View Article*KOCHA SUPER D AWAFUA MABONDIA WAKE MCHANA KWEUPE BEACH
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa, jinsi ya kutupa ngumi huku bega lake likisapoti ngumi kuwa na nguvu zaidi wakati wa...
View Article*BALOZI IDDI ATEMBELEA JENGO LA OFISI YA URATIBU WA SHUGHULI ZA SERIKALI YA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Mkurugenzi wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dar es salaam Shumbana Taufiq kabla ya kuanza ziara yake katika Taasisi za...
View Article*NITAMSHANGILIA FRANCIS CHEKA KATIKA PAMBANO LAKE LA KUIWAKILISHA TANZANIA...
Rais wa IBF, Onesmo Ngowi (katikati) akiwatambulisha mabondia Cheka na Mashali katika pambano lao lililopita.*****************************************************Na Onesmo Ngowi, Rais wa...
View Article