*MWANAMUZIKI MUHIDIN GURUMO ATANGAZA RASMI KUSTAAFU MUZIKI
Mwnamuziki mkongwe wa muziki wa dansi wa bendi ya Msondo Ngoma, Mzee Muhidin Gurumo, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi wake wa kustaafu rasmi kazi ya muziki aliyoifanya kwa muda wa miaka...
View Article*BREAKING NEEEEEWZZZ!!! NDEGE NDOGO YA TANZAIR YATUA ZIWA MANYARA KUNUSURU...
Picha na Maktaba.Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde kutoka Mkoani Arusha zinaeleza kuwa Ndege Ndogo ya Shirika la Ndege la TANZAIR iliyokuwa ikitokea Mjini Bukoba kuelekea Jijini Dar es Salaam,...
View Article*KAMATI KUU YA CCM KUKUTA KESHO MJINI DODOMA
Kamati Kuu ya CCM Taifa itakutana tarehe 23.8.2013 ikifuatiwa na Halmashauri Kuu keshokutwa asubuhi ambapo itakuwa kwa siku mbili.Ajenda Kuu ya Kamati Kuu itakuwa kujadili maoni ya wana CCM juu ya...
View Article*GENN REDIO INAWALETEA KIPINDI KIPYA CHA ''Bongo Views'' KUTOKA KWA...
Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, inawaletea kipindi kipya cha BONGO VIEWS kitakacho endeshwa LIVE kila Jumamosi midaa ya Saa 5 PM za Marekani ya kati...
View Article*TWANGA PEPETA, ROMA MKATOLIKI KUPAMBA TAMASHA LA WAFANYAMAZOEZI LA VILA MALT...
Mkufunzi wa kimataifa wa maswa ya mazoezi ya viungo bwana SAAS akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya tamasha kubwa linalowakutanisha wafanya mazoezi kote nchini na familia zao...
View Article*SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MUGABE WA ZIMBABWE JIJINI HARARE
Rais wa Zimbabwe Mhe Robert Gabriel Mugabe akila kiapo katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa kwake jana Agosti 22, 2013. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na...
View Article*MISS TANZANIA BRIGITTE AANZA UJENZI WA BWENI LA WANAFUNZI ALBINO MKOANI...
Miss Tanzania 2012-013, Brigette Alfred aliweka jiwe la msingi katika ujenzi wa bweni la wavulana shule ya msingi Buhangija akiwa pamoja na afisa elimu wa manispaa ya Shinyanga Honoratha Ruhumbika....
View Article*MSHIKE MSHIKE WA LIGI KUU KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO JUMAMOSI
Na Boniface WamburaMichuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi kesho (Agosti 24 mwaka huu) katika viwanja saba tofauti huku mabingwa watetezi Yanga wakianza kutetea...
View Article*SASA 'KIMEELEWEKA' TIKETI ZA ELEKTRONIKI KUANZA MZUNGUKO WA NNE
Tiketi za elektroniki zitaanza kutumika katika mzunguko wa nne wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) utakaoanza Septemba 18 mwaka huu. Tayari benki ya CRDB ambayo ndiyo ilishinda tenda hiyo imeshakamilisha...
View Article*MATATIZO YANAYOLIKABILI TAIFA NI MAADILI (TAUMATA) KUPATA UFUMBUZI WAKE
Na Mwandishi WetuTaasisi ya Urejesho wa Maadili ya Taifa (Taumata) iliyosajiriwa kwa usajiri namna S.A 18827, imesisistiza kuwa kurejea katika maadili mema ndio ufumbuzi wa matatizo yanayolikabili...
View Article*UNIC YAWATAKA VIJANA KUJITAMBUA MAPEMA ILI KUJENGA TAIFA LITAKALOKUWA NA...
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Usia Nkhoma Ledama akizungumza na wanafunzi wa Sengerema High School, kuhusiana na umuhimu wa kuanzisha vilabu vya Umoja wa Mataifa...
View Article*WANANCHI WA TABORA WACHANGAMKIA FURSA
Mghani mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto akizungumza kwa msisitizo,masuala ya fursa mbalimbali zinazopatikana katika suala zima la ujasiliamali mapema leo kwenye semina ya Fursa iliyofanyika...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU...
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu wapya mara baada ya kuapishwa...
View Article*HII NDIYO NDEGE YA TANZANAIR ILIYOTUA KATIKATI YA ZIWA MANYARA JANA
Hii ndiyo Ndege Ndogo ya Shirika binafsi la Ndege la TANZANAIR iliyokuwa ikitokea Mjini Bukoba kuelekea Jijini Dar es Salaam kupitia Zanzibar, ililazimika kutua katikati ya Ziwa Manyara lililopo...
View Article*MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA, AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU YA...
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki. Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View Article*MAJINA YA WAOMBAJI UONGOZI TFF, TPL BOARD SASA HADHARANI YASOME HAPA
Na Boniface WamburaKamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imebandika rasmi kwenye ubao wa matangazo majina ya waombaji uongozi kwenye uchaguzi wa TFF na Bodi ya Ligi Kuu (TPL...
View Article*WANAOANZA KUKIMBIZA YANGA v/s ASHANTI
YANGA:-Ali Mustafa 'Bartez', Juma Abdul, David Luhende, Nadir Haroub 'Canavaro', (c) Mbuyu Twite, Athuman Idd, 'Chuji', Simon Msuva, Salum Telela, Didier Kavumbagu, Jerson Tegete na Haruna...
View Article*YANGA INAONGOZA BAO 1-0 MPIRA NI KIPINDI CHA PILI
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Ashanti, ambapo alifanikiwa kuwakalisha mabeki kwa kuwalamba chenga hadi golikipa, na kukosa bao hilo la wazi baada ya kubaki yeye na...
View Article*YANGA BAO LA PILI MSUVAAAAAAAAAAAA
Ni Simon Msuva anawanyanyua mashabiki wa Yanga kwa kufunga bao la pili.
View Article