Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana .
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu
Adam Kimbisa.
Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana
na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Khamis Sadifa Juma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana
na mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Octavian Kimario .
Watumishi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia
kwa furaha ujio wa Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho
Kikwete mara tu alipowasili Dodoma tayari kwa Mkutano wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa ya Chama.
Shambra shambra za kumpokea Mwenyekiti wa CCM.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishina mawazo
na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Stephen Wassira kabla ya Kikao cha
Kamati kuanza leo Dodoma kwenye Ukumbi wa NEC.
Wajumbe wa Kamati Kuu wakijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC
kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu,Dodoma 23 Agosti 2013.
Mjumbe wa NEC, Prof. Anna Tibaijuka akipitia Katiba ya Chama kabla
ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ndani ya ukumbi wa NEC.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete ,akifungua kikao
cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM,Kushoto kwake ni
Makamu wa CCM Zanzibar Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu
wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana. Picha na Adam Mzee