Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Ashanti, ambapo alifanikiwa kuwakalisha mabeki kwa kuwalamba chenga hadi golikipa, na kukosa bao hilo la wazi baada ya kubaki yeye na Kipa. Bao la Yanga limefungwa na Jerson Tegete, aliyepokea pasi nzuri kutoka kwa Simon Msuva.
Beki wa Ashanti, akiondosha hatari na kumzuia mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu.
Jerson Tegete, akikosa bao.