*TEGETEEEEEEEEEEE, BAO LA 3
Mshambiaji wa yanga Jerry Tegete, akiwatoka mabeki wa Ashanti. Tegete amefunga bao la 3.
View Article*YANGA YAANZA NA MKONO, YAICHAPA ASHANTI 5-1 TAIFA, HUKO TABORA SIMBA 2-RHYNO 2
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (wa pili kushoto) akiwania mpira na mabeki wa Ashanti, wakati wa mchezo wa fungua dimba la Ligi Kuu ya Vodacom, Tanzania bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa...
View Article*TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 MKOANI TABORA LILIVYOBAMBA
Msanii machachari wa muziki wa bongofleva/filamu Shilole akiimba huku akiwa amebebwa na shabiki wake,huku shangwe na miluzi za mashabiki zikiwa zimetawala kila kona. Baadhi ya mashabiki waliojitokeza...
View Article*TAFRIJA YA USIKU WA MAAFISA MASOKO WAFANA NDANI YA HOTEL TULIP USIKU WA...
Mwanamuziki Banana Zoro akiwa na bendi yake ya B-Band akitumbuiza katika tafrija ya Usiku wa Maafisa masoko iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Golden Tulip huku Kampuni ya Bia ya...
View Article*BARAZA LA KATIBA LA MAMBO YA NJE LAPENDEKEZA URAIA WA NCHI MBILI
Waziri Mkuu Mstaafu wa Zamani Dk.Salim Ahmed Salim akifungua Baraza la Katiba la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika mchakato wa mabadiliko ya Katiba lililofanyika leo kwenye...
View Article*RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi, Ikulu jijini Dar es salaam jana.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa...
View Article*SIKILIZA KWA MAKINI MIAKA 50 YA 'March On Washington' MAAHOJIANO NA PROF...
Prof. John Innis Mtembezi akiwa na Mubelwa Bandio Maandamano hayo yaliyopewa jina la MARCH ON WASHINGTON,ambayo pia yanakadiriwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya robo milioni, yanakumbukwa na wengi kwa...
View Article*WAZIRI WA NISHATI NAMADINI PROF. MUHONGO AKAGUA MAENDELEO YA UTANDAZAJI...
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa na Balozi wa China nchini, Lu Youqing walipokuwa wakikagua mitambo ya kisasa ya kuunganisha mabomba ya kusafirishia gesi, katika...
View Article*MHE. JERRY SLAA HAPA VIPI???? MANDHARI SAAAAFI, BARABARA SASAAAAA
Jitihada za Mhe. Meya wa Ilala, Jerry Slaa, zinaonekana jinsi anavyojitahidi kupendezesha Jiji na hasa katika Manispaa yake ya Ilala kwa kuweka Vivutio kadhaa katika baadhi ya makutano ya barabara au...
View Article*USHURU UNAOKUSANYWA HAPA NI PESA TOSHA ZA KUTENGENEZA MAZINGIRA YA COCO...
Haya ni sehemu tu ya magari yanayoegeshwa kwenye Ufukwe wa Coco Beach siku za wikiendi, ambapo kila garo moja hutozwa ushuru wa Sh. 1,000/= kila moja na moja ya Kampuni inayojiita Mtaa wa Oysterbay....
View Article*BREAKING NEEEEEWZ!!!! WAKAZI WA KILWA ROAD WAFUNGA BARABARA KUDAI FIDIA
HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA WANANCHI MAENEO YA BARABARA YA KILWA ROAD, WAKE, WAUME WATOTO NA VIJANA, WAMEFUNGA BARABARA HIYO YA KILWA KWA KULALA KATIKATI YA BARABARA IKIWA...
View Article*BEAKING NEEEEEEWZ!!!! BAA YA SAMAKI SAMAKI YA MAKONDE MBEZI BEACH INAUNGUA MOTO
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE KATIKA MTANDAO HUU ZINASEMA KUWA BAA YA SAMAKI SAMAKI ILIYOPO MAENEO YA MAKONDE MBEZI BEACH, HIVI SASA INAUNGUA MOTO, ULIOTOKANA NA KINACHOELEZWA NI SHOTI YA UMEME...
View Article*GRANDMALT KUKABIDHI VIFAA VYA LIGI KUU YA ZANZIBAR LEO
Na Mwandishi Wetu, ZanzibarMDHAMINI Mkuu wa Ligi Kuu ya Zanzibar, Kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt, maarufu kama ‘Grand Malt Premier League’ leo wanatarajia kukabidhi vifaa kwa timu shiriki za...
View Article*WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Na Mwandishi WetuWAREMBO 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania, leo wanatarajiwa kukutana rasmi na waandishi wa habari, ili kila mmoja kutoa mtazamo wake shughuli itakayofanyika katika hoteli ya...
View Article*KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA...
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa Mkuu wa Kitengo cha...
View Article*SERIKALI KUCHIMBA VISIMA 300 MAENEO MBALIMBALI YA NCHINI
Na Eliphace Marwa - MAELEZOSERIKALI kupitia Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) iko katika mpango wa kuchimba visima virefu 300 vya maji katika mwaka wa fedha wa 2013⁄2014 katika...
View Article*BAA YA SAMAKI SAMAKI IKITEKETEA KWA MOTO LEO
Hii ndiyo Baa ya Samaki Samaki ikiteketea kwa moto leo baada ya kutokea Hitilafu ya Umeme wakati baa hiyo ilipokuwa ikibomolewa leo ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo inayoendelea kujengwa, ambapo...
View Article*KAMUHANDA AMFAGILIA JAKAYA KIKWETE KWA UTEUZI WA VIONGOZI WA WIZARA YA...
NA MAGRETH KINABO – MAELEZOALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Seith Kamuhanda amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuwateua viongozi ambao ni majembe...
View Article*MKUTANO WA UCHAGUZI WA TFF KUFANYIKA OKTOBA 26-27
Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 26 na 27 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Awali mkutano wa uchaguzi...
View Article*WAWILI WAPINGWA UCHAGUZI WA TFF
Wanamichezo wawili walioomba kuwania uongozi kwenye uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) utakaofanyika Oktoba 27 mwaka huu wamewekewa pingamizi.Waliopingwa ni Wallace John Karia...
View Article