Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akizungumza na Waandishi wa Habari jana jioni kuhusu Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Salvatore Rweyemamu, Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu.
NAIBU MAKATIBU WAKUU