Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*KOCHA SUPER D AWAFUA MABONDIA WAKE MCHANA KWEUPE BEACH

$
0
0
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa, jinsi ya kutupa ngumi huku bega lake likisapoti ngumi kuwa na nguvu zaidi  wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Ufukwe wa Gymkhana jana.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Tanzania Rajabu Mhamila 'Super D' (katikati) akiwa  katika picha ya pamoja na mabondia kushoto ni Ibrahimu Class 'King Class Mawe', Cosmas Kibuga,Saidi Mbelwa na Shomari Mirundi.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa, jinsi ya kupiga ngumi ya kifua pamoja na chembe kwenye kivaa maalumu kwa ajili ya kupiga ngumi mbalimbali za tumbo 'Body Punch' wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Ufukwe wa Gymkhana jana.
Super D, akizungumza na baadhi ya Mabondia, waliojitokeza wakaati wa mazoezi hayo Dar es salaam jana. Picha na Mpiga Picha Wetu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>