$ 0 0 Mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England kati ya Arsenal na Tottenham, huku Arsenal wakiwa wenyeji wameweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tottenham, bao lililofungwa na Olivier Giroud .