*TASWA YAMPONGEZA FRANCIS CHEKA
(A) PONGEZI KWA FRANCIS CHEKACHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kinatoa pongezi kwa bondia Francis Cheka kwa kuibuka bingwa mpya wa dunia wa WBF katika uzito wa Super...
View Article*USAILI WAGOMBEA TFF, BODI YA LIGI, KIUNGO WA SIMBA AONGEZWA TAIFA STARS
Usaili wa waombaji uteuzi kwenye uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi Kuu (TPL Board) unaendelea na unatarajia kukamilika leo (Septemba 1 mwaka huu).Kamati ya...
View Article*UMOJA WA VIJANA WAPATA KATIBU MKUU MPYA
Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake Martin Shigela akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Mboni Muhita kabla ya kuanza kwa kikao cha wajumbe wa baraza la Umoja wa Vijana katika Afisi...
View Article*PESIDENT KIKWETE ARRIVES IN DAR ES SALAAM TODAY FROMA ALBACH-AUSTRIA
The Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal welcomes back home President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived at Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam from Alpbach...
View Article*ARSENAL YAICHAPA TOTTENHAM 1-0
Mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England kati ya Arsenal na Tottenham, huku Arsenal wakiwa wenyeji wameweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tottenham, bao lililofungwa na Olivier Giroud .
View Article*TOYOTA COROLLA INAUZWA BEI POA
IPO KWENYE HALI NZURI KABISAMAKE: TOYOTA MODEL: 2000CC:1490BEI MAELEWANOinapatikana Tabata SegereaKwa mawasiliano 0712 26 38 70 au 0712 39 02 00 DALALI HATAKIWIN:B SERIOUS BUYER ONLY
View Article*BENKI YA NBC YAFURAHI NA NA WATEJA WAKE KWENYE UZINDUZI KITENGO CHA PRIVATE...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo baada ya uzinduzi wa kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja Wakubwa cha NBC...
View Article*TIMU YA KMKM YATWAA NGAO YA JAMII,ZANZIBAR BAADA YA KUICHAPA CHUONI MABAO 5-4
Timu ya KMKM ya Kisiwani Pemba ikifurahia ushindi wake wa Ngao ya Jamii,mara baada ya kuifunga timu ya Chuoni mabao 5-4 yaliyopatikana kwa mikwaju ya penati baada ya kumaliza dakika tisini ya mchezo...
View Article*HAPPINESS WATIMANYWA ATWAA TAJI LA REDD'S MISS PHOTOGENIC 2013
Mlimbwende Happiness Watimanywa (19) jana aliibuka kidedea kati ya walimbwende wenzake 30 na kutwaa taji la Redds Miss Photogenic 2013 na kupata nafasi ya kwanza kabisa kuingia Nusu Fainali ya...
View Article*MKUTANO WA UVCCM 'WAFUNIKA' ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda, akihutubia mkutano wa hadhara wa UVCCM uliofanyika kwenye Viwanja vya Komba Wapya, mjini Zanzibar, jana, baada ya mkutano wa Baraza Kuu la...
View Article*RAYMOND MARO ONE YEAR MEMORIAL
It is one year exactly since you were called to glory from this world. Your untimely departure clouded our hearts with untold sadness and grief. Your death reminded us of a phrase from the Canticle of...
View Article*MAMIA WAMZIKA MEJA KHATIB SHAABAN WA KIKOSI CHA KULINDA AMANI ALIYEUAWA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiongoza mamia ya wanajeshi, wananchi na Ndugu na jamaa katika Mazishi ya Meja wa Kikosi cha JWTZ Khatib Shaaban Mshindo, aliyeuawa Nchini DRC akiwa...
View Article*SIMBA YAIFUNZA MAFUNZO YA ZANZIBAR KWA MABAO 4-3
Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Ledondo (wa tatu kulia aliyeruka) akiruka kupiga mpira wa kichwa kuelekeza mashambulizi katika lango la wapinzani wao timu ta Mafunzo ya Zanzibar, wakati wa...
View Article*MPANGO WA TAIFA WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA
Msemaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Julian Tendwa akieleza kwa waandishi wa habari juu ya Mpango wa Taifa wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa,wakati wa mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya...
View Article*HENRY JOSEPH AITWA KUONGEZA NGUVU TAIFA STARS IKIIKABILI GAMBIA
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amemjumuisha mchezaji Henry Joseph wa Simba kwenye kikosi chake kinachojiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa Septemba 7...
View Article*MASANJA MKANDAMIZAJI AFUNGUKA KUHUSU KUHUSISHWA NA MADAWA YA KULEVYA NA...
Masanja Mkandamizaji afunguka alipolonga na Vijimambo kuhusu kudaiwa kuhusika na madawa ya kulevya na kuhusu kushikiliwa kwa Passport yake na Serikali, MSIKILIZEHii ndio Nyumba ya Ghorofa ya Masanja...
View Article*MISS TANZANIA 2012 BRIGITTE ALFRED AONDOKA LEO KWENDA KAMBI YA MISS WORLD...
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameondoka nchini leo kwenda nchini Indosia katika kambi ya Miss World 2013. Pichani juu ni...
View Article*ILALA, KASKAZINI UNGUJA ZAANZA COPA COCACOLA KWA SARE
Picha na Maktaba.Na Boniface Wambura Timu za Ilala na Kaskazini Unguja zimetoka sare ya mabao 3-3 katika moja ya mechi za ufunguzi za michuano ya Copa Coca-Cola kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15...
View Article*DK ALBERIC KACOU AFUNGUA WARSHA KWA WARATIBU WAKAZI MASHARIKI NA KUSINI MWA...
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dk. Alberic Kacou akifungua warsha siku tano kwa Waratibu Wakazi wa Umoja wa Mataifa katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara Afrika...
View Article*VIDEO: WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI KILICHOWAFANYA KUTOKA NJE YA UKUMBI
Hon. Abdullah Mwinyi..
View Article