*WANAFUNZI NANE WAPATA UFADHILI WA MASOMO KUTOKA SERIKALI YA WATU WA CHINA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo uliopo jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla fupi ya kuwaaga...
View Article*BENKI YA NBC YAZINDUA KITENGO CHA HUDUMA BINAFSI ZA KIBENKI KWA WATEJA WAKUBA
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja Wakubwa cha benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto...
View Article*BONANZA LA MAZOEZI LA VITA MALT KUFANYIKA UWANJA WA MABATINI MWANZA KESHO
Na Mwandishi Wetu, MwanzaKATIKA kuhakikisha Watanzania wanakuwa na afya bora, kinywaji kisicho na kilevi cha Vita Malt, kimeandaa bonanza maalumu litakalowashirikisha wafanya mazoezi ambalo...
View Article*MDAU FREDY ANTHONY ALAMBA NONDOZ YA MBA-MULTIMEDIA MARKETING
Mdau Fredy Anthony (wa pili kulia) akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki waliojitokeza kumsindikiza katika Mahafali hayo wakiwa Nje ya ukumbi wa Dewan Tun Canselor baada kupata shahada yake ya pili...
View Article*CHEKA AMCHAPA MMAREKANI NA KUMPORA MKANDA WA UBINGWA WA DUNIA (WBF) MABONDIA...
Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kulia) akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, wakaati wa pambano lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa wa Dunia uzito wa Super Middle (WBF) lililofanyika...
View Article*TFF, AZAM MEDIA ZASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 5.5/-
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kampuni ya Azam Media leo (Agosti 30 mwaka huu) wamesaini mkataba wa haki za kipekee za televisheni (exclusive rights) utakaoiwezesha Azam TV kuonesha...
View Article*YAHAYA WA JAY DEE WAMTOA LULU KWENYE MY FOOLISH AGE
MSANII wa Filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu' ameonyesha kipaji chake kwa kuimba vyema wimbo wa YAHAYA wa Nguli wa muziki wa Kizaki kipya Lady Jay Dee, na kutunzwa mijihela wakati akiimba wimbo huo...
View Article*ENJOY NA TOFAUTI ELISHA TF CHEGE & ALLY NIPISHE
TOFAUTI-ELISHA MGOGO FT CHEGE & ALLY NIPISHE KIPAJI KINGINE KUTOKA THT
View Article*PRESIDENT JAKAYA KIKWETE AT THE HIGH-LEVEL RETRAT ON 'NEW IDEAS FOR A FAIR...
President Jakaya Mrisho Kikwete in a group photo with hosts and participants in the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013. To his left is the...
View Article*DK. MAHANGA ATEMBELEA VIWANDA, MASHAMBA YA CHAI NJOMBE
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (kulia) akioneshwa mitambo ya kuzalisha majani ya chai katika Kiwanda cha Chai cha Luponde, wilayani Njombe, alipofanya ziara ya kutembelea viwanda...
View Article*FULL MKANDA PAMBANO LA MADA MAUGO NA THOMAS MASHALI LILIVYOKUWA
Bondia Mada Maugo (kushoto) akimsukumia konde zito mpinzani wake Thomas Mashali, wakati wa pambano lao la raundi 10 la kuwania Ubingwa wa WBF wa Afrika, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee...
View Article*WADAU WA UTOAJI HAKI WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE NCHINI WAKUTANA KUJADILI...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA),mama Salma Kikwete (kulia) akizungumza na washiriki wa warsha ya utoaji Haki juu ya kutokomeza matumizi mabaya ya madaraka...
View Article*WAKAZI WA MTWARA WAIPOKEA KWA SHANGWE SEMINA YA FRSA KWA VIJANA.
Meneja Kiongozi,Uhusiano NSSF Makao makuu jijini Dar,Eunice Chiume akizungumza mapema leo kwenye semin ya FURSA iliyofanyika kwenye ukumbi wa Pentecoste Ligula B,uliopo mkabala na Kituo cha Vijana...
View Article*PRESIDENT KIKWETE AT THE HIGH-LEVEL RETREAT ON NEW IDEAS FOR A FAIR...
President Jakaya Mrisho Kikwete with Minister for Energy and Minerals Professor Sospeter Muhongo chat with Mr Kandeh Yumkella, UN Secretary-General's Special Representative and Ms Amina Mohamed, UN...
View Article*LIVER POOL 1 MAN U 0
Matokeo hadi sasa bado Liverpool inaongoza bao 1-0 lililofungwa katika dakika ya 3. Mpaka sasa mpira ni dk ya 35
View Article*MAN U YALALA YAPIGWA 1-0 NA LIVER POOL
Goli pekee katika mchezo wa ligi ya England lililofungwa na Sturridge katika dakika ya 3 ya mchezo limeiwezesha Liver Pool kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lililodumu hadi mwisho wa mchezo.
View Article*BREAKING NEEEEEEWZ!!!! PROMOTA WA CHEKA MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA...
Promota Jay Msangi (katikati) akiwa na Bondia Mmarekani (kushoto) aliyekuwa aje kupigana na Bondia Mtanzania, Alphonce Mchumiatumbo katika pambano hilo la...
View Article*WAJUMBE BARAZA KUU UVCCM KUTOKA TANZANIA BARA WALIPOWASILI ZANZIBAR...
Bandari ya Zanzibar Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti jioni hii Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM...
View Article*REDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2013 KUJULIKANA LEO
WASHIRIKI wa shindano la Redd's Miss Tanzania leo watapata fursa ya kumjua mrembo wa kwanza kuingia katika hatua ya Nusu fainali ya Shindano la Redd's Miss Tanzania 2013 wakati mrembo mmoja kati ya...
View Article