Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA IDARA YA JESHI LA POLISI NA KUWATAKA WAYAFANYIE KAZI MAAZIMIO WALIYOWEKEANA

$
0
0
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani  ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi uliofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi,DCP Ally Lugendo,akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Taaluma yaPolisi,Kilwa Road, jijini Dar es Salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>