*WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA TABATA SEGEREA DAR
Na Shamimu Nyaki-MaelezoJeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limewakamata wahamiaji haramu 105 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria wakiwa wanasafirishwa kwenda nchi...
View Article*MAKUNDI YA JAMII ASILIA YA WAHADZABE, WABARABAIG, WAMASAI WAIOMBA SERIKALI...
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKABIDHIWA TUNZO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Tunzo ya dhahabu iliyopewa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana...
View Article*BALOZI IDD AYAONYA MATAIFA KUTOUPOTOSHA UMMA KUHUSU ZANZIBAR
Wananchi wakiwa katika shughuli zao za kujitafutia kipato cha kila siku, maeneo ya Soko Kuu la Zanzibar almaarufu kama Malkiti ya Darajani.Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Iddi, ameyataka...
View Article*WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA YA GHAFLA BANDARINI NA KUIBUA MADUDU,...
Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa, leo amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam, na kuagiza waliohusika na upotevu wa makontena 349 kukamatwa mara moja ili kuisaidia Polisi...
View Article*SERIKALI YAKANUSHA KUHUSU HAZINA KUACHWA TUPU
Na Jovina Bujulu-Maelezo, Dar es SalaamSerikali imekanusha taarifa zinazosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa amekomba fedha hazina...
View Article*TIMU YA U15 YAANZA KAMBI KUJIANDAA NA ZIARA YA MAFUNZO UKAMDA WA AFRIKA...
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) imeingia kambini jana jioni katika hosteli za TFF zilizopo Karume jijini Dar es salaam, kujiandaa na ziara ya mafunzo katika ukanda wa Afrika...
View Article*MAHAKAMA YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WANAHABARI.
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila akitoa ufafanuzi kuhusu Kichwa cha Habari ya Mahakamani kilichoandikwa bila kuzingatia Weledi na moja ya Gazeti la Kila siku wakati wa...
View Article*KAMPENI YA ABIRIA PAZA SAUTI YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa Umma wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Abel Swai (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo,...
View Article*WAFANYAKAZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAFANYA BONANZA LA KUMUAGA MAKAMU WA...
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya VPO Sports Club, Nehemia Mandia, baada ya kuibuka na ushindi katika Bonanza...
View Article*RAIS DKT. MAGUFULI, WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS, MHE....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na...
View Article*WAZAZI WATAKIWA KUWAPELEKA WATOTO WAO VYUO VYA UFUNDI ILI KUJIANDAA KUJIAJILI
WATANZANIA wametakiwa kuwapelewa watoto wao katika vyuo mbalimbali vya ufundi stadi elimu inayo zalisha ajira nyingi kuliko vyuo vikuu hapa nchini ili kuepukana na tatizo la ajira.Inadaiwa kuwa watu...
View Article*NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MKUTANO WA BARAZA...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati alipoalikwa kufunga...
View Article*TAARIFA YA UPOTEVU WA MAKONTENA AZAM ICD TOKA SSB Group of Companies
Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa kampuni ya Bakhresa inahusika na upotevu wa Makontena 349 yaliyoripotiwa hivi karibuni kuwa yametolewa bandarini bila kulipiwa ushuru....
View Article*MKOA WA DODOMA UMEANZA KUTEKELEZA AGIZO LA MHE. RAIS MAGUFULI LA KUFANYA...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge (kulia walioingia mtaroni) na watumishi wengine wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakishiriki zoezi la kusafisha mitaro ya maji ya mvua eneo la Bahi Road...
View Article*RAIS MAGUFULI AONANA NA MABALOZI WA CHINA NA KOREA KUSINI, PROFESA LIPUMBA...
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya...
View Article*DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 3.4 ZATENGWA KUSAIDIA WACHIMBAJI WADOGO TANZANIA
Na. Lilian Lundo – MaelezoSerikali kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imetenga jumla ya Dola za Marekani Milioni 3.4 kusaidia vikundi vya wachimbaji wadogo na watoa huduma katika migodi...
View Article*RC MAKALLA AWADUWAZA WANAKILIMANJARO,AFAYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA
Na Mwandishi Wetu, MoshiMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na...
View Article*FEDHA ZA SHEREHE ZA UHURU KUTUMIKA UPANUZI WA BARABARA,MOROCCO -MWENGE
Sehemu ambako utaanzia upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami kufuatia agizo la Rais Dkt John Pombe...
View Article*MAJINA SAHIHI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa (Pichani)anatumia majina matatu kama ifuatavyo: Kassim Majaliwa Majaliwa au Kassim M. Majaliwa.Tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, kumekuwa...
View Article