*CCM ITAMPA USHIRIKIANO MKUBWA DKT. MAGUFULI ATEKELEZE ILANI KIKAMILIFU: NAPE
Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation Ltd, Absalom Kibanda akimkarbisha Karibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, alipotembelea Ofisi za kampini hiyo leo, Sinza...
View Article*UN, SERIKALI WASHUKURU WAKAZI WA SINGIDA KUJIMILIKISHA MIRADI YA MAENDELEO
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na mmoja wa watendaji wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida mara tu alipowasili...
View Article*HATIMAYE MAJWEGA ATUA RASMI MSIMBAZI BAADA YA AZAM KUMALIZANA NA SIMBA
Mjwega akiwa ndani ya uzi wa Simba katika moja ya ratiba za mazoezi ya Cluba ya Simba hivi karibuni.**************************************KLABU za Simba SC na Azam FC zinazoshiriki ligi kuu Tanzania...
View Article*MKAZI WA DAR AKAMATWA NA MENO YA TEMBO KILO 8.5 JIJINI MBEYA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed MsangiNa Emanuel Madafa,Mbeya Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia Lukas Wambura (38) Mkazi wa Banana – Dar es salaam mwenye shahada ya dharura ya...
View Article*BALOZI SEFUE AENDELEA NA MSISITIZO WATUMISHI WA UMMA KUVAA BEJI ZENYE MAJINA...
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi....
View Article*POP UP BONGO ILIVYOFANA, TRINITI BAR OYSTERBAY CHINI YA UDHAMINI WA SMIRNOFF
Co- founder wa Pop Up Bongo Natasha Stambuli akionesha bidhaa za duka lake la Secret Habit ambalo nalo lilionesha bidhaa zake siku hiyo.Andrew Mahiga na rafiki ake walikuwapoMmoja kati ya wanawake...
View Article*WIZARA YA HABARI, VIJANA NA MICHEZO YAPONGEZWA KWA USHIRIKI KWA WADAU WA VIJANA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (watatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Shirika la Voluntary Serverce Overseas...
View Article*MKUTANO WA WAHARIRI KUHUSU MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE
Mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele, Dkt. Upendo Mwingira akielezea jinsi Serikali inavyojitahidi kupambana na magonjwa hayo, ambayo baadhia yake ni...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ATEMBELEA KUKAGUA UJENZI WA BANDARI MPYA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (wa pili kushoto) wakati...
View Article*MELI MPYA YA MV MAPINDUZI 2 YAWASILI BANDARI YA ZANZIBAR
Meli Mpya ya MV Mapinduzi 2 ikiwasili Zanzibar ikitokea Nchini Korea Meli Mpya ya MV Mapinduzi ikiwasili katika bandari ya Zanzibar ikitokea Nchini Korea baada ya kukamilika, ambapo ilichukuwa jumla ya...
View Article*MASTAA KIBAO KUSHIRIKI FILAMU MPYA YA HOMECOMING, KUTINGA CINEMA KISHA...
Mwongozaji mahiri wa filamu ya Homecoming inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, Seko Shamte. Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya...
View Article*BREAKING NEEEWZ!!!!, WAZIRI MKUU AWAZUKIA GHAFLA TENA BANDALINI NA TRA
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la reli Tanzania(TRL). Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya awali meneja wa bandari...
View Article*TAZARA YAPOKEA MABEHEWA 18 NA VICHWA 4 KUTOKA SERIKALI YA CHINA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akipanda kwenye moja ya vichwa 4 vya treni ya Tazara vilivyotolewa na Serikali ya China. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli la Tanzania...
View Article*RAIS DKT MAGUFULI ALIPOKUTANA NA VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA UMOJA WA SEKTA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation - TPSF) katika ukumbi wa...
View Article*WANAENABOISHU KUKUTANA KUPANGA MIKAKATI YA KUSAIDIA SHULE YAO
Na Zawadi Msalla-MAELEZO-DarWanafunzi waliowahi kusoma katika shule ya Sekondari Enaboishu ya jijini Arusha wanatarajia kukutana tarehe 5 Desemba 2015 ili kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya...
View Article*SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA UVUVI
Afisa Uvuvi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bw. Silas William akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuwainua wavuvi wadogo hapa...
View Article*RAIS DKT. MAGUFULI AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA
Jacquiline MrishoRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali ya Tanzania inatekeleza mikakati ya kuweka mazingira bora ili sekta isiyo rasmi iweze kuchangia...
View Article*TANESCO KUONDOLEWA KATIKA UZALISHAJI UMEME WA UPEPO, WIND EA KUANZA...
Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Mhandisi, Hosea Mbise akizungumza katika mkutano wa tatu wa wawekezaji na wadau wa nishati ya umeme ujulikanao kwa jina la Powering Africa uliodhaminiwa na...
View Article*MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA YAFANYIKA SOKO LA...
Mwenyekiti wa Soko la Temeke Sterio Amani Mtemi akiwatambulisha wageni waalikwa katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliyofanyika katika soko hilo Dar es Salaam leo asubuhi....
View Article*MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa...
View Article