*MKUTANO WA 10 WA UHAMIAJI KUTOKA MFUMO WA ANALOJIA KWENDA DIGITAL KWA NCHI...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwanchi zaJumuiya ya Maendeleo ya Nchi za...
View Article*MBUNGE COSATO CHUMI AMALIZA TATIZO LA UHABA WA VITANDA HOSPITALI YA MAFINGA...
Pichani Mbunge wa jimbo la Mafinga mji ni Cotato chumi akimkabidhi msaada wa vitanda ,magodoro pamoja na vifaa mbalimbali kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Mafinga dk Abdul Msuya juzi baadhi ya...
View Article*MANISPAA YA ILALA WASHIRIKIANA NA FORUM CC KUANZISHA MFUKO WA MAZINGIRA NA...
Mtaalamu wa Misitu na Mazingira, Kahana Lukumbuzi ambaye alikuwa na jukumu la kutengezeza andiko la uanzishwaji wa mfuko huo, akitoa ufafanuzi wa baadhi ya vipengele vilivyomo kwenye andiko hilo...
View Article*TANZANIA YAPEWA CHETI CHA KUTOKUWA NA UGONJWA WA POLIO
Na Magreth Kinabo- DarTanzania imetangazwa rasmi kuwa ni mojwapo ya nchi isiyokuwa na ugonjwa wa polio katika nchi za Afrika katika mkutano wa Tume ya Afrika ya kuthibitishwa kutokomezwa kwa...
View Article*TAARIFA KUTOKA TCRA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIAISO 9001:2008CERTIFIED TAARIFA KWA UMMATAHADHARI KUHUSU KUINGILIA AU KUFUATILIA MAWASILIANO YA WATUKatika siku za hivi karibuni...
View Article*DROO YA KWANZA YA JAZA MAFUTA NA USHINDE KUTOKA GAPCO YACHEZESHWA JIJINI DAR...
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (katikati) akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuwatafuta washindi wa promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wa mafuta katika...
View Article*WAVUVI UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI KUNUFAIKA NA UVUVI WENYE TIJA.
Na Jovina Bujulu- MAELEZO, Dar es Salaam.Wavuvi waishio ukanda wa maeneo ya Pwani ya Bahari ya Hindi upande wa Tanzania Bara na Zanzibar wanatarajia kunufaika na elimu ya ukuzaji viumbe kwenye maji...
View Article*NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA...
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Bw. Zuberi Samataba(aliyetangulia) akikagua machinjio ya kuku jana katika soko la Temeke...
View Article*KASI YA RAIS DKT. MAGUFULI YAWAPANDISHA KIZIMBANI MAOFISA NANE WA TRA KWA...
Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, Tiagi Masamaki (katikati) na washitakiwa wenzake wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo mchana baada ya kusomewa mashitaka...
View Article*RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AMTAMBULISHA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU...
Rais Mstaafu wa awamu Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mhe. Rais wa China Xi Jinping, wakati walipokutana...
View Article*MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa...
View Article*TGDC NA KAMPUNI YA TOSHIBA WATILIANA SAINI MKATABA WA MAELEWANO (MOU) WA...
Na Benedict Liwenga-MAELEZO.Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC) pamoja na Kampuni ya TOSHIBA ya nchini Japan zimetiliana saini Mkataba wa Maelewano wa kufanya tafiti kwa...
View Article*TAMISEMI YAENDELEA KUHAMASISHA SUALA LA USAFI JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Kagyabukama Kiliba (aliyevaa miwani) akishuhudia Majuto Alli Majuto akiendelea na kazi yake ya kukaanga samaki...
View Article*WATUMISHI WA UMMA KUSAINI KIAPO CHA AHADI NA UADILIFU
Na Lilian Lundo-MaelezoOfisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza rasmi kutekeleza Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma nchini ambao ulizinduliwa Agosti Mosi mwaka huu.Akiongea na vyombo...
View Article*NEC YATOA TAMKO KUHUSU UCHAGUZI WA WABUNGE MAJIMBO YALIYOAHIRISHWA
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (ambao hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa...
View Article*INTERSWITCH LAUNCHES IN TANZANIA
CEO, Bernard MatthewmanINTERSWITCH, the leading integrated digital payments and commerce provider focused on Africa has today announced its entry into Tanzania and unveiled its new corporate identity....
View Article*DK.SHEIN AMUAPISHA MKUU WA WILAYA MICHEWENI PEMBA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Ali Khamis Juma kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kabla aklikuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji...
View Article*WAOGELEAJI WA DAR SWIM CLUB WATAMBA KUTWAA UBINGWA
Wachezaji wa klabu ya Dar Swim Club wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka.Waogeleaji wa Dar Swim Club watamba kutwaa medali, kwenda Dubai JumatanoNa Mwandishi wetuKocha wa klabu ya kuogolea...
View Article*TGDC NA MKAKATI WA UZALISHAJI WA UMEME KUPITIA JOTOARDHI
Na Benedict Liwenga-MAELEZO.Kutokana na ongezeko la mahitaji ya nishati ya umeme nchini, nishati itokanayo na jotoardhi (Geothermal Energy)imetajwa kuwa ni muhimu katika kuepukana na hasara kubwa na...
View Article