Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AMTAMBULISHA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU KWA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING, JIJINI JOHANNESBURG

$
0
0
 Rais Mstaafu wa awamu Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mhe. Rais wa China Xi Jinping, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China uliofanyika leo Jijini Johannesburg.
Mazungumzo yakiendelea....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>