Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (watatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Shirika la Voluntary Serverce Overseas (VSO)Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Bibi. Esther Liwa,Mkurugenzi wa Kanda wa VSO Bibi. Niki Kandirikirika, Afisa Mtendaji Mkuu wa shirika lisilo la Kiserikali la Volountary Service Overseas (VSO) Dkt.Philip Goodwin, Mkurugenzi wa Voluntary Service Overseas nchini Bw. Jean Van Wetter
na Meneja Mradi wa ICS kutoka VSO Bibi. Imisa Masinjila
Picha na Frank Shija, WHVUM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) akielezea jambo wakati wa kikao baina yake na ujumbe kutoka Shirika la Voluntary Serverce Overseas (VSO) jana jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa MtendajiMkuu wa shirika lisilo la Kiserikali la Volountary Service Overseas (VSO) Dkt.Philip Goodwin na kulia ni Mkurugenzi wa Voluntary Service Overseas nchini Bw. Jean Van Wetter.
Baadhi ya wajumbe wa kikao baina ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Shirika la Voluntary Serverce Overseas (VSO) wakifuatilia hoja zilizokuwa zinawasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel (hayupo pichani) jana jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana Bibi. Esther Liwa, Meneja Mradi wa ICS kutoka VSO Bibi. Imisa Masinjila na Afisa Mtendaji Mkuu wa
VSO Dkt.Philip Goodwin