Baadhi ya wananchi wakiangalia vitenge vianavyotengenezwa kutoka China katika maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akionesha bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao la maonesho. Picha na Magreth Kinabo-Maelezo