*MAONYESHO YA BIDHAA ZA CHINA DIAMOND JUBILEE DAR
Baadhi ya wananchi wakiangalia vitenge vianavyotengenezwa kutoka China katika maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai)...
View Article*KLABU YA SOKA YA SUNDERLAND YA UINGEREZA KUJENGA KITUO CHA ACADEMY NA KUINUA...
Mkurugenzi wa Biashara wa klabu ya Sunderland.Bw Gary Hutchinson,(kushoto)akimkabidhi mkurugenzi wa wizara ya michezo bw.leonard Tadeo.jezi ambao imesainiwa sahihi na wachezaji wa sunderland.Mkurugenzi...
View Article*WAREMBO REDD'S MISS TANZNIA 2013 WALIPOTEMBELEA MARIA STOP KANDA YA KASKAZINI
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha...
View Article*KINANA NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA SHINYANGA VIJIJINI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Mzee wa kata ya Didia . Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kwenye ujenzi wa Birika la kunyweshea mifugo katika kata...
View Article*SHIWATA YAKABIDHI NYUMBA ZA WANACHAMA WAO KWA AJILI YA MAKAZI
Mchezaji na Kepteni wa zamani wa Timu ya Taifa Stars, Jella Mtagwa (kushoto) akipokea cheti cha nyumba aliyokabidhiwa na SHIWATA na eneo la robo ekari ambalo anatarajia kujenga nyumba kubwa.Mwanachama...
View Article*MAJIBU YA REGINALD MENGI JUU YA GESI
Septemba 7, 2013 nilipokea barua pepe (email) yenye kichwa cha habari kisemacho “ubinafsi/ufisadi wa MENGI na Chuki/Fitina kwenye Maendeleo”.Aliyetuma email hiyo alijitambulisha kama “CCM TANZANIA” na...
View Article*VIJANA WATAKIWA KUWA WAWAZI, WAADILIFU NA WAAMINIFU
Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiVijana nchini wametakiwa kuwa wawazi, waaminifu na waadilifu kwani huo ndiyo msingi mkubwa wa kupambana na rushwa ili waweze kuwa viongozi wazuri hapo baadaye.Rai hio...
View Article*'RIGWALIDE RIMEMSINDA', MVELLA AJIENGUA KWENYE UCHAGUZI TFF
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Eliud Mvella amejiondoa kwenye mchakato wa uchaguzi uliopangwa kufanyika Oktoba 27 mwaka huu.Mvella amemwandikia barua...
View Article*SAID MAULID 'SMG' RUKSA KUITUMIKIA ASHANTI UNITED, WAWILI WAPATA ITC...
Mchezaji Said Maulid aliyejiunga na Ashanti United akitokea nchini Angola msimu huu amepata ITC ambayo sasa inamwezesha kuchezea timu hiyo katika mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inayoingia mzunguko...
View Article*MKURUGENZI WA DOLASED AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED) Gidion Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa...
View Article*MUHIDIN GURUMO AANDALIWA ONYESHO MAALUM LA KUMUAGA OKTOBA 11, 2013 DIAMOND...
Mkurugenzi wa bendi ya African Stars, 'Twanga Pepeta' Asha Baraka, (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa utambulisho wa onyesho maalum la mwamamuziki mkongwe, Muhidin Gurumo (53) wa pili...
View Article*BALOZI IDDI AKUTANA NA UONGOZI WA CHUO CHA DIPROMASIA CHA DAR
Mkuu wa Chuo cha Dilpomasia Jijini Dar es salaam Balozi Dr. Mohammed Maundi yeye na ujumbe wake akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi juu ya mfumo wa...
View Article*KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KISHAPU KWA MAFANIKIO MAKUBWA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi waliofika kumpokea kwenye wilaya ya Kishapu katika eneo la Maganzo ambapo Katibu Mkuu alikuwa na ziara katika wilaya ya Kishapu.Katibu...
View Article*MSHINDI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2013 KUONDOKA NA GARI, KITITA CHA SH....
Mkurugenzi wa kampuni ya Lino Intenational Agency Hashim Lundenga (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam, wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa shindano la Redd’s Miss...
View Article*TUJIKUMBUSHE NA ANALOJIA
ENZI HIZO:- huyu si mwingine bali ni mwanamuziki wa bendi ya Fm Academia, Patcho Mwamba, akiwa na my Naniliu wake, wakaati huo bendi ya Fm Academia ikiwakilishwa na wanamuziki kama Patceko Mbongo,...
View Article*TENGA AWATAKA WAHITIMU GRASSROOTS KUSAMBAZA UJUZI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewataka wahitimu wa kozi ya ukocha wa grassroots kusambaza ujuzi walioupata nje ya shule zao ili mradi huo uwe na manufaa nchi...
View Article*SERIKALI HATUJAFUKUZA WAKIMBIZI ,BALI WAHAMIAJI HARAMU
NA MAGRETH KINABO –MAELEZO SERIKALI imesema kwamba haijawafukuza wakimbizi nchini huku akitoa ufafanuzi kuwa zoezi linaloendelea hivi sasa ni linahusiana kuwabaini na kuwarejesha kwao wahamiaji haramu...
View Article*UTUMISHI YAICHABANGA TASWA QUEENS MABAO 43-19
Mfungaji nyota wa timu ya Utumishi, Anna Msulwa akifunga goli huku mchezaji wa Taswa Queens, Elizabeth Mbassa akiwa hana la kufanya katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Leaders Club. Utumishi...
View Article*RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA ITALIA
Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya kutoka nchini Italia Dkt. Luigi Scotto, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu- Dar es Salaam, leo mchana....
View Article*KINANA ATEMBELEA VIWANDA VYA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA
Sehemu ya msafara wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiingia Shinyanga Mjini. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofurika kwenye...
View Article