*SIXTUS AKUTANA NA WAZEE WAASISI WA CCM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda, leo amekutana na wazee waasisi wa Jumuia hiyo, Ofisini kwake, Makao Makuu ya UVCCM, Barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam. na kuwa na...
View Article*SIMBA v/s MTIBWA BADO NGOMA NGUMU, MPIRA NI MAPUMZIKO
Beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Mbeikya (chini Kushoto) akiondosha moja ya hatari iliyoelekezwa langoni kwake na mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe, wakati wa kipindi chanza mchezo wa Ligi Kuu ya...
View Article*LOWASSA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MTEMI ISIKE...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Machifu mbali mbali kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini,wakati akiwasili kwenye Sherehe za Maadhimisho ya...
View Article*SIMBA YATAFUNA MUWA WA MTIBWA SUGAR 2-0
Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Amri Kiemba (kushoto) akiwania mpira na beki wa Mtibwa Sugar, Shaban Nditi, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar es...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA PADRI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI MJINI...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya...
View Article*WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WATAKIWA KUWA PAMOJA KATIKA KUENDELEZA MASUALA...
Na Anna Nkinda – MaelezoWaumini ya dini ya Kiislam nchini wametakiwa kuwa pamoja katika kuendeleza masuala ya kiimani bila ya kuhitilafiana kwani hititafu ndogo huzaa migogoro katika jamii jambo...
View Article*MTEMVU AKABIDHI MSAADA WA MAGODORO 30 HOSPITALI YA TEMEKE
Mbunge wa temeke Abbas Mtemvu akikabidhi kwa Lucy Sozigwa ambae ni katibu wa hospitali ya temeke moja ya magodoro 30 yaliotolewa na kikundi cha akina mama wa Neema Woman's Power (NWP). Mbunge wa...
View Article*KINANA AIFARIJI FAMILIA ILIYOUNGULIWA NA NYUMBA SHINYANGA MJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa pole Nassoro Rashid Tinde mmiliki wa duka la vipuri vya magari Tinde Store lililotekea kwa moto jana usiku,Shinyanga. Katibu Mokuu wa CCM Ndugu...
View Article*MECHI YA SIMBA, MTIBWA YAINGIZA MIL 102/-
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Mtibwa Sugar iliyochezwa jana (Septemba 14 mwaka huu) katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 95,080,000.Watazamaji 16,507 walikata...
View Article*PPRISCA CLEMENT ATWAA TAHI LA REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2013
Mrembo Prsica Clement, kutoka Kitongoji cha Sinza (katikati) akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la Redd's Miss Talent kwa mwaka 2013, na kufanikiwa kupata tiketi ya...
View Article*BALOZI IDDI ASHIKIA BANGO ZOEZI LA UFUFUAJI WA KITUO CHA UPANDISHIAJI...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiushauri Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuwa na kara kana ya kisasa ya vyombo vya moto wakati alipoitembelea kara kana ya wizara hiyo...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WANAFUNZI WA KIKE KUJIEPUSHA NA MAFATAKI,...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) akizungumza hivi karibuni na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Msimbu iliyopo wilaya ya Kisarawe...
View Article*TIB YAZINDUA OFISI NA TAWI KANDA YA JUU KUSINI MJINI MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulika) akikata utepe kuzindua ofisi za Makao Makuu ya Benki ya Maendelea Tanzania (TIB) ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Tawi la benki hiyo Mkoa wa Mbeya...
View Article*MHE. LOWASSA AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI YA KANISA LA...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini,wakati alipokuwa akiwasili...
View Article*MAADHIMISHO YA 16 YA SIKU YA BIMA YALIVYOFANA JIJINI DAR.
Naibu Waziri wa Fedha, Janet Mbene (katikati), Kamishna wa Bima, Israel Kamuzora na Mwenyekiti wa Bodi ya Bima, Peter Ilomo (kushoto) wakishangilia wakati wa Maadhimisho ya 16 ya kila mwaka ya Siku...
View Article*SEVERINA LWINGA ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA PERSONALITY 2013
Mrembo Severina Lwinga, juzi alifanikiwa kuwa mrembo wa tano kuingia nusu fainali ya shindano la Redd's Miss Tanzania 2013 baada ya kutwaa taji la Miss Personality 2013. Mshindi wa taji hilo...
View Article*UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC, WATHIBITISHA MAREHEMU Adubo M.Omer HAKUWA...
Adubo Mustafa Omer Enzi ya uhai wakeBaada ya uchunguzi wa zaidi ya wiki tatu,Ubalozi wa Tanzania Washington DC umethibitisha kuwa Marehemu Adubo M. Omer hakuwa Raia wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
View Article*UFUNGUZI WA WARSHA YA UANDAAJI MKAKATI WA NISHATI TUNGAMOTO (BIOMASS)
Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava (kushito) akisalimiana na Mike Bess ambaye ni mshauri na mmoja wa waanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia...
View Article*UWAKILISHI KWENYE MKUTANO MKUU TFF
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesema uwakilishi wa ujumbe kwenye Mkutano Mkuu unaanzia kwenye chama cha mpira wa miguu cha mkoa, kufuatiwa na...
View Article