Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*LOWASSA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MTEMI ISIKE MWANAKIYUNGI WA KABILA LA UNYAMWEZI,MKOANI TABORA LEO

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Machifu mbali mbali kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini,wakati akiwasili kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mtemi Isike Mwanakiyungi wa Kabila la Unyamwezi aliefariki Miaka 124 iliyopita.Sherehe hizo zimefanyika leo kwenye Kijiji cha Itetemya,Mkoani Tabora.Kushoto ni Chifu Mkuu wa Unyanyembe,Chifu Msagata Fundikira. KUSOMA ZAIDI BOFUA HAPO CHINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo na Mjukuu kutoka katika Ukoo wa Fundikira.Kushoto ni Chifu Mkuu wa Unyanyembe,Chifu Msagata Fundikira.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiangalia Ngoma za Asili ya Kabila la Unyamwezi waliokuwa wakitoa Burudani kwenye Sherehe hizo.
Mmoja wa Machifu wa Unyanyembe akimkabidhi Zawadi ya Asali,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akionyeshwa moja ya kibuyu cha Tambiko la Kabila la Unyamwezi.
Chifu Mkuu wa Unyanyembe,Chifu Msagata Fundikira akifanya tambiko muda mfupi kabla ya kumtawaza kuwa Mmoja wa Machifu wa Unyanyembe.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akisikiliza kwa makini Wasifu wa Marehemu,Mtemi Isike Mwanakiyungi aliefariki Miaka 124 iliyopita.Wasifu huo Ulisomwa na Bw. Richard Mchembe.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Chifu Mkuu wa Kabila la Unyenyembe,Chifu Msagata Fundikira wakishirikiana kuweka jiwe la msingi katika eneo litakalojengwa Mnara wa kumuenzi Mtemi Isike Mwanakiyungi aliefariki Miaka 124 iliyopita.Sherehe hizo zimefanyika jana kwenye Kijiji cha Itetemya,Mkoani Tabora.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>