Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*SIXTUS AKUTANA NA WAZEE WAASISI WA CCM

$
0
0
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda, leo amekutana na wazee waasisi wa Jumuia hiyo, Ofisini kwake, Makao Makuu ya UVCCM, Barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam. na kuwa na mazungumzo ya kina na waasisi hao.Pichani, Mapundfa (kushoto) akiwasikiliza waasisi hao. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM, Mfaume Ally Kizigo. Picha na Bashir Nkoromo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>