*LIGI KUU YAINGIA RAUNDI YA NNE KESHO, YANGA KUJIULIZA KWA TANZANIA PRISONS
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya nne kesho (Septemba 18 mwaka huu) kwa mechi saba katika viwanja saba tofauti.Vinara wa ligi hiyo, JKT Ruvu...
View Article*MANCHESTER UNITED YAICHAPA LIVER BAYER LEVERKUSEN, MADRID YAUA GAR 6-1 UEFA...
Mfungaji wa mabao 2 kati ya ma 4 ya Manchester United, Rooney (kulia) akiruka kwanja kumkwepa beki wa Bayer Levekusen, wakati wamchezo wa UEFA Champions League, uliomalizika hivi punde, Man U wakiwa...
View Article*SWAZI KING MSWATI III TO WED 14th WIFE
Swaziland's King Mswati III has chosen an 18-year-old beauty pageant contestant as his 14th wife, a palace spokesman said Tuesday, days before a much-criticised parliamentary vote."I can confirm that...
View Article*JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN AFUNGUA MAFUNZO YA MAHAKIMU...
Mh. Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman akiwaasa Hakimu Wakazi alipokuwa anafungua mafunzo ya mahakimu hao yaliyoandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
View Article*RAIS KIKWETE AFUNGUA UBALOZI WA HESHIMA SAN FRANCISCO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi ofisi ya ubalozi wa heshima(Honorary Consulate) wa Tanzania jijini San Francisco nchini Marekani leo jioni.Kulia ni Balozi wa heshima wa...
View Article*RAIS MSTAAFU ATEMBELEWA NA WAGENI MBALIMBALI NYUMBANI KWAKE
Rais Msataafu Mh. Benjamin Mkapa (alienyanyua mkono mbele) leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam akiongea na wageni wake jana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam walipokwenda kumtembelea. (Pichani...
View Article*BALOZI IDDI ATEMBELEA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA TANGI LA MAJI SAFI LA...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dr. Mustafa Ali Garu akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hatua zinazochukuliwa za ujenzi wa tangi la kuhifadhia...
View Article*MWANAMKE MWINJILISTI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUWATUNZA WAHAMIAJI HARAMU
Mwiinjilisti mwanamke kutoka nchini Nigeria ambaye ana kibali cha kazi ya uinjilisti katika huduma ya Life Changer Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam , Blessing Dangana, anayedaiwa...
View Article*KINANA,NAPE WAPATA HESHIMA WILAYA MPYA YA UTIMILA,MKOANI SIMIYU
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wengine akiwa amekaa baada ya kusimikwa tena kuwa Chifu wa Wasukuma eneo la Migato, Itimila.Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana akinywa kahawa...
View Article*KUMBUKUMBU YA MIAKA 6 YA KIFO CHA MZEE SHAURI TIMOTHEO NATHAN
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007) Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika mitano sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007)...
View Article*BALOZI IDDI AKAGUA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA UMEME KITUO KIKUU CHA UMEME CHA...
Kaimu Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Thabit Salum Khamis akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif mfumo mpya wa huduma za umeme unaotumika katika kituo kikuu cha...
View Article*TCRA YATOA VYETI KWA MABLOGER WAHITIMU WA MAFUNZO YA SIKU MBILI...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao huu wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa...
View Article*SIMBA YAUA MGAMBO 6-0, YANGA YAENDELEA KUNG'ANG'ANIWA NA DROO JIJINI MBEYA...
Mshambuliaji wa Simba, Mwombeki Betram, akimtoka beki wa Mgambo Bakari Mtama, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Katika mchezo huo Simba...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AMUAPISHA MSHAM ABDULLA KHAMIS KUWA NAIBU KATIBU...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Msham Abdula Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto, katika...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI WASHINGTON, DC
Rais Dkt Jakaya Kiwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California. Rais...
View Article*TANZANIA KUSHIKA NAFASI YA NNE KWA UZALISHAJI WA CHUMA
Na Hassan Silayo na Fatma Salum , MAELEZOTanzania inatarajia kuwa mmoja wa wazalishaji wakubwa wa chuma barani Afrika kwa kuzalisha tani milioni moja kwa mwaka pindi uzalishaji wa madini hayo...
View Article*THE GOVERNMENT VOWS TO COLLABORATE WITH STAKEHOLDERS IN THE FIGHT AGAINST...
The Minister for Labour and Employment, Ms Gaudentia Kabaka officiate the HIV Corridor Economic Empowerment Innovation Fund project today during the official launching at the ILO office in Dar es...
View Article*MAONYESHO YA WANASAYANSI VIJANA WA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA FROM MAE
Mwamuzi wa maonesho ya Wanasayansi Vijana wa Tanzania kutoka Kitengo cha Masuala ya Teknolojia wa ESB International Edwina O’ Callaghan (kushoto) akisikiliza maelezo juu ya matumizi ya umeme wa...
View Article*KINANA,NAPE WASHIRIKI MSOSI NA WAKAZI WA BARIADI
Kinana akishiriki kula chakula cha asili aina ya mchembe ambacho ni viazi vilivyokaushwaNape alkila wali kwa maharage pamoja na wananchi chakula kilichoandaliwa na Balozi kwa ugeni huo Wananchi wa...
View Article*PRESIDENT JAKAYA KIKWETE MEETS CONGRESS MEMBERS AT CAPITAL HILL
President Jakaya Mrisho Kikwete with his delegation during a working meeting with Congress woman Kay Granger(second left), Chairwoman of the State, Foreign operations and related Programs...
View Article