Hii ndiyo hadha ya Mitaa ya Kariakoo nyakati za mvua, hapa ni mtaa wa Msimbazi ukiwa umejaa maji kutokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam jana mchana, na kusababisha msongamanao mkubwa wa magari, Pikipiki na watu pia kutokana na magari yote kukwepa eneo hili lililojaa maji na kukimbilia upande mmoja, hivyo kusababisha usumbufu wa kupishana.
↧