*MVUA ZILIZONYESHA JIJINI DAR JANA BALAA LILIKUWA HIVI MITAA YA KARIAKOO
Hii ndiyo hadha ya Mitaa ya Kariakoo nyakati za mvua, hapa ni mtaa wa Msimbazi ukiwa umejaa maji kutokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam jana mchana, na kusababisha msongamanao mkubwa wa...
View Article*TAIFA STARS SASA KUKIPIGA NA ZIMBABWE JUMANNE BAADA YA KENYA KUINGIA MITINI
Na Boniface Wambura, TFFTIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, sasa itacheza na Zimbabwe mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)- FIFA Date itakayofanyika keshokutwa...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA MINAZI WA SRI LANKA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokutana na Waziri wa Maendeleo ya Minazi na Maendeleo ya Shamba la Janatha wa Sri Lanka, Mheshimiwa Jagath Pushpakumara (shati jeupe) na ujumbe wake mjini Colombo,...
View Article* ILO YAENDESHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA KUJIKINGA NA VVU KWA WANAWAKE...
Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Ukimwi ILO Getrude Sima (kushoto) akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Kaimu Afisa Tarafa ya Chalinze kata ya Pera Bw. Rashid Kiwamba (kulia) kukabidhi vyeti kwa...
View Article*ZIMBABWE KUTUA LEO MCHANA KUIKABILI STARS
Na. Boniface WamburaKikosi cha Zimbabwe kinawasili leo mchana (Novemba 18 mwaka huu) kuikabili Taifa Stars katika mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)- FIFA Date...
View Article* KIPINDI MAALUM TOKA SWAHILI TV MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA
Tunawaletea kipindi maalum cha Mazishi ya mpendwa na kipenzi chetu Bi. Martha Shani aliyefariki ghafla nchini Marekani na kuja Kuzikwa nyumbani Tanzania. Katika Kipindi hiki utaona matukio mbalimbali...
View Article*YASSIN ABDALLAH "USTAADH" AJIONDOA KUWANIA TUZO ZA BOXING
YASSIN ABDALLAH MWAIPAYA -USTAADH, Rais wa TPBO ''NAJIONDOA KUWANIA TUZO ZA BOXING''Ninayo hashima kwenu kuwafahamisha yafuatayo;hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ambazo zimetolewa na watu...
View Article*CAMEROON HAOOOOOOO, KOMBE LA DUNIA 2014 WAIBANJUA TUNISIA MABAO 4-1
Nahodha wa timu ya Cameroon,Samuel E'too, akishangilia baada ya timu yake kujikatia tiketi ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia 2014, kwa kuibanjua Tunisia mabao 4-1.TIMU ya Cameroon jana...
View Article*MAUAJI MENGINE KISA YALE YALEEEEEE, AUA NA KUJIPIGA RISASI YA KICHWA
Mtu anae daiwa kuwa ni Mfanyabiashara wa jijini Mwanza, na kufahamika kwa jina la Gabriel Munisi amejiua baada ya kushambulia watu wanne kwa risasi asubuhi ya leo eneo la Ilala Bungoni jirani na Klabu...
View Article*MAZIKO YA DKT SENGONDO MVUNGI KATIKA PICHA MKOANI KILIMANJARO
Askofu Damian Dallu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba marehemu Dkt. Sengondo Mvungi katika makaburi ya familia kijijini...
View Article*TAIFA STARS YASHINDWA NYUMBANI YATOKA SARE YA 0-0 NA ZIMBAMBWE
Mshambuliaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta, (kulia) akichuana kuwania mpira na beki wa Zimbawe, Simba Sithole, wakati wa mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa uliochezwa kwenye Uwanja wa...
View Article*CHRISTIANO RONALDO AIPELEKA URENO FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2014,...
Manahodha wa timu za Taifa za Ureno, Christiano Ronaldo (kushoto) akipongezana na kupeana Fair Play na Ibrahimovic, baada ya mchezo wao marudiano wa kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia 2014,...
View Article*TIMU ZA GHANA, FRANCE NA ALGERIA ZAFUZU FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2014
TIMU za Taifa za Algeria, France na Ghana zimefuzu kuchezofainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa nchini Brazil mwakani. Algeria leo usiku imekata tiketi ya kucheza Kombe la Dunia nchini Brazil 2014...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA MSAFARA NA MWAKILISHI WA SULTAN...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said, wakati...
View Article*UJENZI WA BARABARA ZA DAR IPO SIKU YATASAHAULIKA HAYA
Ujenzi wa Barabara ya Morogoro na nyinginezo za jijini Dar es Salaam, unaoendelea umekuwa ukisababisha foleni kubwa za magari na hasa katika barabara hii eneo la Kimara, ambapo wafanyakazi wengi...
View Article*AY TO TIE THE KNOT SOON? HERE IS “MCHUMBA AKE”
Although other artists from Tanzania are slowly emerging in terms of getting a recognition in other African countries and even beyond, AY has been there and done that. He is one of the most successful...
View Article*ALIYEJERUHIWA KWA RISASI TUKIO LA KLABU YA WAZEE AFARIKI DUNIA, FRANCIS SHUMIRA
MMOJA kati ya majeruhi katika tukio la kushambuliwa kwa risasi hivi majuzi eneo la Klabu ya Wazee Ilala, Francis Shumira amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Muhimbili (MOI) alikokuwa...
View Article