*BALOZI IDDI ATEMBELEA KUKAGUA MAJENGO YA SKULI YA SEKONDARI ILIYOTELEKEZWA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pamoja na Uongozi wa Wizara ya Elimu Zanzibar akitembelea majengo ya Skuli Mpya ya Sekondari ya Wilaya ya Kusini Iliyopo Paje Mtule ambayo Mkandarasi wake ameingia...
View Article*MECHI ZA UFUNGUZI SHIMIWI HAZINA YAIBAMIZA RAS DODOMA 3-1, KAMBA IKULU (ME)...
Mshambuliaji wa timu ya Hazina, Seleman Juma (aliyeruka) akimiliki mpira mbele ya beki wa timu ya Ras Dodom, wakati wa mchezo wao wa ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI, uliochezwa leo jioni kwenye...
View Article*SIMBA YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NYUMBANI NA WATOTO WA MBEYA CITY
Timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, leo imecheshwa kwata na Vijana wa Mbeya city na kuvtwa shati katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa kwenye Uwanja wa taifa. Katika mchezo huo timu hizo...
View Article*ICCF AWARDS PRESIDENT KIKWETE FOR CONSERVATION EFFORTS
The President and CEO of Wildlife Conservation Society Dr.Cristian Samper presents the US International Congressional Foundation ICCF Mhenga award to President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in recognition...
View Article*MATOKEO YA UTAFITI WA UWEZO WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI NCHINI...
Afisa Mwandamizi wa Benki ya Dunia Bw. Richard Martini (katikati) akitoa salaam za Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Phillipe Dongier, ameipongeza Ofisi ya...
View Article*RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kikao cha ufunguzi cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola jijini Colombo Srilanka leo asubuhi.kushoto ni Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza William Hague....
View Article*MO IS THE YOUNGEST IN THE LIST OF AFRICA'S RICHEST- FORBES
Once again a Tanzanian-born Mohammed ‘Mo’ Dewji has been mentioned as one of the Africa’s successful young businessmen at Forbes Magazine. He is the CEO of METL, a large Tanzanian conglomerate with...
View Article*AFRICAN BARRICK GOLD MINE KUKABIDHI MGODI WA TULAWAKA KWA STAMICO
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu makubaliano ya kukabidhi mgodi wa Tulawaka kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kutoka kwa...
View Article*SMZ YAANDAA MASHINDANO YA MICHEZO 17 KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Said Ali Mbaruk akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu michezo mbalimbali itakayofanyika ikiwa ni...
View Article*RAIS WA ZANZNIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika...
View Article*MAYOR JERRY SLAA VISIT ARTIST PAINTING TO SUPPORT DAWATI NI ELIMU
Local Tanzanian artists painting to Support Dawati Ni Elimu The First of its kind mayoral ball aims to raise TZS 4.98 Billion towards providing desk to 30,487 primary and secondary schools in Ilala...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA DKT.SENGONDO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili...
View Article*KITUO CHA KISUKARI CHA ST. LAURENT DIABETES CENTRE CHA ZINDULIWA RASMI
Muuguzi katika kituo hicho cha St. Laurent Diabetes Centre, akimpima Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ask. Dk. Alex Malasusa huku Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein...
View Article*KAYA CHACHE SINGIDA ZAJIUNGA NA CHF
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Katala...
View Article*WANANCHI WA MTWARA WATAKA KOROSHO IUZWE KWA KWA KESHI NA SI MKOPO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kata ya Mbesa ,kijiji cha Mbesa wilayani Tunduru ,Katibu Mkuu yupo kwenye ziara ya mkoa wa Ruvuma ambayo ameongozana na Katibu wa...
View Article*SERIKALI KUTUMIA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 219 KUJENGA GATI 4 KATIKA...
Na Fatma Salum-MaelezoSerikali kutumia takriban dola za marekani milioni 219 kujenga gati 4 katika bandari ya Mtwara ambapo tayari taarifa ya upembuzi yakinifu imekamilika.Hayo yamesemwa leo jijini...
View Article*SERIKALI IMESEMA KUANZIA SASA ITAKUWA NA HISA KWENYE MIGODI
Na Magreth Kinabo – Maelezo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospete Muhongo amesema kwamba kuanzia sasa hakuna mgodi utakaoanzishwa bila ya serikali kuwa na hisa .Kauli hiyo imetolewa leo na...
View Article*MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA, SINGIDA
Alex akipewa pole na Shangazi wa Martha.Kwa niaba ya Familia, Kamati ya Mazishi Marekani na Tanzania na ndugu na jamaa wote kwa ujumla tumeona ni vyema nanyi mkaona matukio yote kwani mlishiriki katika...
View Article*WACHEZA KIKAPU TANGA WAOMBA MSAADA WA KUIPELEKA TIMU MKOANI MBEYA
Na mwandishi wetuMabingwa watetezi wa michuano ya taifa ya kikapu (Taifa Cup) kwa mwaka jana, bado hawajathibitisha ushiriki wao katika michuano ya mwaka huu kutokana na ukata wa fedha.Kwa mujibu wa...
View Article