Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA, SINGIDA

$
0
0
Alex akipewa pole na Shangazi wa Martha.
Kwa niaba ya Familia, Kamati ya Mazishi Marekani na Tanzania na ndugu na jamaa wote kwa ujumla tumeona ni vyema nanyi mkaona matukio yote kwani mlishiriki katika msiba huu. Kwa mara nyingine tena tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wote mliofanikisha Shughuli zote Usafiri, Maandalizi mbalimnbali na hatimaye kuuhifadhi mwili wa mpendwa wetu, dada yetu, rafiki na kipenzi chetu Bi. Martha Shani.Mazishi yalifanyika Puma Sindiga siku ya Alhamisi ya Octoba 31, 2013. 
Kushoto; Vincent Mughwai, Joseph, Alex akimshikia mtoto Chris beleshi akiweka udongo katika kaburi la Mama yake, huku Mchungaji Peter Ihema wa Kanisa la Pentekoste Puma akitazama . Mazishi yalifanyika Alhamis Oktoba 31, 2013 Puma-Singida.
Alex, Joseph, DMK, Muddy wakiwafuatilia shughuli za Mazishi Alhamis Oktoba 31, 2013 Puma-Singida.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>