Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania Debnath Shaw, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania Debnath Shaw, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.