Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TFF YAUNDA KAMATI NDONGONDOGO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametangaza wajumbe wa kamati ndogongo (standing committees) wakati zile za haki (judicial organs) na uchaguzi zitaundwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MWENYEKITI WA SIMBA ALIYETIMULIWA ADEN ISMAIL RAGE ATAKIWA KUITISHA MKUTANO...

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage ameagizwa kuitisha Mkutano Mkuu wa Dharura wa klabu ndani ya siku 14 kuanzia sasa.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa agizo hilo baada ya kubaini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RIS JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI LEO AKITOKEA POLAND

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik(kushoto) muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. ZITTO KABWE NA DKT KITILA MKUMBO KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO...

Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo, kuwa watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MISS TANZANIA USA PAGEANT

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI SEFUE AKUTANA NA MKUU WA TAASISI YA UONGOZI YA CHINA

Makamu wa Rais wa Taasisi ya Uongozi ya Jamhuri ya Watu wa China Mh.Hong Yi akimkabidhi nakala ya kitabu chenye nasaha za watu mashuhuri kutoka jamhuri ya watu wa China Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMKO LA KUJIUZULU MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA (BARA)

Said A. Arfi (MB)Salaam,Napenda kuwasilisha kwako (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) taarifa ya kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara kuanzia Leo Ijumaa 22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na Unafiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ZITTO KABWE, DKT. KITILA MKUMBO WAFUNGUKA KUHUSU KUVULIWA MADARAKA CHADEMA...

 'Waliokuwa Naibu Katibu Katibu Mkuu  na Makamu Mwenyekiti' wa Chadema, Zitto Kabwe (kulia) akizungumza kwa hisia wakati alipokuwa akitoa tamko rasmi kuhusu 'maamuzi magumu', yaliyochukuliwa na chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KILIMANJARO STARS KUAGWA KESHO KWA BONGE LA HAFLA

Kikosi cha Kilimanjaro Stars***********************************************Boniface Wambura MgoyoKikosi cha Kilimanjaro Stars kinaagwa kesho (Novemba 25 mwaka huu) tayari kwa safari ya Nairobi, Kenya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA BODA TO BODA HADI KYELA KWA MELI

Baadhi ya abiria waliosafiri na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika Meli ya Mv Songea, alipokuwa akitokea Mbamba Bay mkoani Ruvuma kwenda Kyela mkoani Mbeya. Meli hiyo iliyoanza kazi katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAMKO LA ZITTO KABWE 'SING'OKI CHADEMA NGOOOOO!!!'

TAARIFA YA MH. ZITTO KABWETAARIFA YA DKT. KITILA MKUMBO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIWEZI KUVUNJA KATIBA YANGU KWA MAELEKEZO YA TFF-RAGE, APINGA AGIZO LA...

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amepinga agizo la Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, lililomtaka kuitisha Mkutano Mkuu wa Wanachama ndani ya siku 14,kwa lengo la kujadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO YA ZIARA YA UJUMBE WA CHINA NCHINI KATIKA PICHA

Baadhi ya ujumbe wa watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa wakiaangalia mchoro wa ramani ya Tanzania ili kuelewa maeneo mbalimbali leo katika Makumbusho ya Taifa jijini Dares Salaam. Naibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MH.LOWASSA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATA YA...

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiburudika kwa kucheza muziki sambamba na wakina Mama wakazi wa Kata ya Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam,Mwishoni mwa wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AANZA ZIARA RASMI MKOANI MBEYA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ipinda wilayani Kyela kwenye mkutano wa hadhara ambao ndio mkutano wake wa kwanza kama Katibu Mkuu wa CCM lakini pia ndio siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSIKILIZE ADEN RAGE ALIPOIGOMEA TFF KUITISHA MKUTANO MKUU

''Swezi kuvunja Katiba yangu kwa kufuata maelekezo ya TFF, kwa hili wamechemsha na watachekwa......''

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO, WIKI YA SERA ZA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WAZAZI MKOANI LINDI KUSIMAMIA ELIMU YA WATOTO WAO

 Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM kutoka Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Jangwani lililoko katika Kata ya Chikonji huko Lindi leo. Picha na John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania Debnath Shaw, alipofika Ikulu  Mjini  Zanzibar leo asubuhi.Picha na Ramadhan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KATIBU MKUU WA UN

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu Bibi Mary Robinson na kufanya nae mazungumzo jijini...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>